Nimepita maeneo ya Mbagara Rangi tatu naona watu wamejishika tu! Na ubungo ndo kwanza ATM machinery haifanyi kazi kabisaa na iko mjini watu wanasafiri wanatoka na kuingia wanategemea kupata Uduma ya kifedha
Achen kufanya kazi kwa mazoea NMB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjiunge na nmb mobile. Nmb ina uduma kibao. Binadamu ni kua na altenative kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu hata hiyo mobile inakataa
767ba356dba427aeb3fc393456fba020.jpg
[/IMG]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mastercard nadhani inauwezo wa kuchukua fedha kwenye bank yoyote ile. Kwa nini msiende kwenye ATM za benk zingine kama CRDB, NBC, nk mkachukua hela kwa kutumia hiyo card ya NMB?

Ndio maana inaitwa Mastercard wakimaanisha inaingia kwenye bank yoyote ile iwe hapa nchini au nchi za nje. Nenda sasa hivi kajaribu, it works!
 
Cha ajabu ni Master Card ndo zinasumbua, ila Card za kawaida hazina shida, NMB wajirekebishe coz binafsi nishakutana na tatizo hili zaidi ya Mara 5 sasa.
 
Hiyo mastercard nadhani inauwezo wa kuchukua fedha kwenye bank yoyote ile. Kwa nini msiende kwenye ATM za benk zingine kama CRDB, NBC, nk mkachukua hela kwa kutumia hiyo card ya NMB? Ndio maana inaitwa Mastercard wakimaanisha inaingia kwenye bank yoyote ile iwe hapa nchini au nchi za nje. Nenda sasa hivi kajaribu, it works!
Tatizo inasemekana lipo NMB makao makuu kwa mastercard zote kutokufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uwezekano nikatoka kwenye master card nikarudi kwenye zile za njano mwenyewe nishachoka maana nilishawahi kutoa hela lakini hazikutoka
 
NMB turudishieni card zetu zile za njano. Awali maisha yalikuwa mazuri sana. Ukienda kwa NMB wakala unachanja tu mzigo unatoka.

Sasa mkaja na hizi kadi zenu za bluu (sioni sababu ya kuziita master wakati hazikidhi viwango) ni majanga tu. Kwa wakala hazisomi... ATM mashine pia ni shida tu.

Mnasema kuwa tutumie huduma za mtandao? Mbona kutuingiza gharama mara mbili kwa muamala mmoja? Yaani pamoja na makato yote haya kwa sie watumishi wa umma bado tujipeleke kukatwa kisa uzembe wenu?

Hebu kuweni na a sense of responsibility. Msifanyie kazi mazoea.
Turudishieni kadi zetu za njano. Hatutaki master wala visa card....
 
Hivi mateso ya nmb master card yataisha lini? Gharama mnazo tupa wateja nikubwa mno, ~3500 kwakila muamala kutoka 600 tulio kuwa tunachajiwa kwa ATM.
hiliswala linakuja mwisho wa mwez Ambapo kwa kutumia TELLERS mapato.
 
Hiyo mastercard nadhani inauwezo wa kuchukua fedha kwenye bank yoyote ile. Kwa nini msiende kwenye ATM za benk zingine kama CRDB, NBC, nk mkachukua hela kwa kutumia hiyo card ya NMB? Ndio maana inaitwa Mastercard wakimaanisha inaingia kwenye bank yoyote ile iwe hapa nchini au nchi za nje. Nenda sasa hivi kajaribu, it works!
Bosi tatizo gharama zisizo za razima ktk miamara maana kutoka 600/- hadi taklibani 3500/ ni palefu ususan kwa sisi ambao tunafanya miamala mara kwa mara.
 
Bado ile ya mwaka 8000..alafu hizi siku mbili tatu kadi zao zinasumbua
 
Ndugu Mteja, tunaomba radhi kwa tatizo la mfumo wa MasterCard kwenye ATM zetu, tumia ATM nyingine yoyote yenye nembo ya MasterCard au NMB Mobile kupata huduma.

Tangazo wàlilonitumia
 
Back
Top Bottom