Wadau Nakolokocha Nmb Mobile Hapa Kucheki [HASHTAG]#Salario[/HASHTAG] Nimeletewa Maandishi Haya [HASHTAG]#externalapplicationdown[/HASHTAG] Yana Maana Gani? Naelekea Kunako [HASHTAG]#Longchairs[/HASHTAG]
 
hivi wewe unafanya kazi gani na ni kitengo gani?
 
Wadau Nakolokocha Nmb Mobile Hapa Kucheki [HASHTAG]#Salario[/HASHTAG] Nimeletewa Maandishi Haya [HASHTAG]#externalapplicationdown[/HASHTAG] Yana Maana Gani? Naelekea Kunako [HASHTAG]#Longchairs[/HASHTAG]
Labda wewe ni tajiri, maana hiyo ni benki ya makabwela
 
Hawa jamaa nimewavulia kofia, kuna jamaa kakopa 10m eti anatakiwa arudishe 17m! NMB mungu anawaona.
Anarudisha kwa muda gani?? Kama anarejesha fedha kidogokidogo kila mwezi na ametaka miaka mingi kwann riba isiwe kubwa??
 
NMB hamna mfumo mzuri na salama wa kuchukua fedha kutoka kwenye mashine zenu za ATM, hii imepelekea kuwasababishia hasara ya kupoteza fedha baadhi ya wateja wenu mmoja kati yao nikiwa mimi mwenyewe nilie poteza fedha kiasi cha shilingi laki mbili kutokana na matatizo ya kiufundi mashine zenu
Duh pole sana! Walahi mie wangezirudisha
 
Yanii mnatoa Huduma safii sana kwa makato madogoo...!! Mpo poa sanaa sema mrekebishe ishu ya Network kwenye ATM zenu huwa inazingua...otherwise mpo vizuri sanaaa...
 
Mimi kero yangu kubwaaaaaaaaaaa tena kubwaaaaaaaaaaaaaaa hasa na huwa inanifanyaga nitapike nikiona hiki kitendo na hutokea mara nyingi sana.
Ukiwa kwenye foleni basi akija mtu ambaye anaonekana ana pesa sana , au sijui ndio mteja mungu, yaani atapapatikiwa na huondolewa kwenye foleni kama anaslip yake wataichukua, na kwenda kumuhudumia upande wa ndani , mwenzangu na mm niliokuja nimevaa gagulo na makata mbunga nitakesha na foleni.

Je ni kwamba nyie mnahudumia watu kwa status zao au kujuana nao au, maana hili swala hunikera sana , na to be honest nikirudi tena nikikutana nalo natoa hela zangu zoteeeeeeeeeeeeee nahama bank na kama amuamini siku nikikutana nalo, nitawaDM kabisa nawapa na jina langu kama hamtakuta acc inasoma 0000000.

Kama mnahudumia watu hudumieni kwa usawa na haki, isionekana watu wanahudumiwa kwa matabaka, coz kila anayekuja pale hamna mwenye haraka, waambieni hao waanyakazi wenu hasa vidada.

Kingine ni hilo swala la kupewa hela chafu, au unadraw unaomba upewe elfu kumikumi, unaambiwa hamna, nikalazimishwa kuchukua buku buku tena chafu eti kumi kumi hamna kidogo nimtemee mate kala kadada.
 
Pole sana mkuu ila wateja huwa hawafanani aisee nenda sehemu yoyote siku zote watu wanaodeposit hela nyingi huwa wanakuwa na dirisha lao tena hii inasaidia hata kupunguza foleni imagine mtu anaweka laki moja akae kwenye foleni kumsubiria mtu anahesabiwa milioni ishirini
 
Yaani kila ikifika weekend au sikukuu ukilogwa itoe fedha kwenye account yako ya NMB kwenda M-Pesa ni ku risk. Hii ni mara ya tano tangu nianze kutumia huduma hii halafu inagoma.

Mbaya zaidi hela inaonyesha kutoka kwenye account yako lakini m pesa haijafika na wala hakuna msg yoyote ya either kuna kasoro au laaa!! Nimepiga namba yao ya 0800002002 majibu ninayopata tangu asubuhi ni haya. " Simu yako ni muhimu sana, endelea kusubiri muda mfupi" .
Kwahiyo tangu asubuhi naendelea kusubiri muda mfupi.

Najua lengo lao wasikuhudumie hadi sikuku zipite then ndio wakuambie nenda Tawi la NMB la karibu utasaidiwa.

Yaani sikukuu nitaila kiugumu sababu ya hii bank.

Waziri wa Fedha najua kauli yako tu ina nguvu yakuzuia kasoro hivi zisirudiwe tena. Au wafanye kama TANESCO wanavyofanya kuutangazia uma kama system yao ya LUKU itasumbua hivyo wateja wanachukua tahadhari.

This is a rubbish bank ever.
 
Inawezekana kuna baazi ya wakubwa kwenye hiyo bank wanaona hii sikukuu sio muhimu kwao na haiwahusu
 
Back
Top Bottom