Kuna baadhi ya matawi yenu mfano Ngudu Kwimba kulikuwa na tabia mbaya, mf. Mtu akitaka kuchukua mkopo alikuwa anazungushwa sana ili atoe rushwa, na wakiona hujiongezi wanakwambia waziwazi. Sijui kama hiyo tabia wameacha au bado inaendelea.
 
Pokeeni simu za Wateja wenu , kuna mhamala nimefanya haujakamilika.Napiga customer care for almost 2 hrs there is no
 
Huo mchezo upo sana tena sana na sio NMB peke yake lakin NMB ndio wamezidisha nimesha wahi kukutana na hilo sakata nakwambia lakin kwa vile nilijua mchezo huo nilikomaa na yule bwana mdogo nikamwambia aisee huo mchezo naufahamu tutaharibiana kazi jamaa yangu mimi najua kuhesabu na ikabla ya kuja hapa nimejiridhisha mara kadhaa nikiamin huwa kuna sababu kama hizo huku na kweli imetokea ,ninahakika kabisa pesa hazijapungua hizo hesabu tena aisee basi kwa nilikuwa nimesha ona nikajifanya natizama pembeni makusudi ili nimpe chance arudishe

Nilipo rudisha kichwa akajifanya ngoja basi tuhesabu tena maana sijazichanganya bado basi kuzihesabu ikatimia ile pungufu ya laki 4 na 30 ikarudi akajifanya oohh! Ndio maana kuna wakati huwa tunaona bora tuhesabu kwa mikono yetu hizi mashine bwana zina matatizo wakati fulan na mie nkajifanya kumpa pole kuwa huwa zinachoka nazo , wakati kumbe alizikwapua , benk si sehwmu salama kabisa kwa sasa tena kama NMB wafanye reform huko wamejaa vibaka.
Aisee noma sana
 
Toka mmeniibiaga na mobile bank yenu nikapigwa laki 8 yangu ya ada baba akaniona mwizi mpaka leo . nawafata pale mwanza mnaniambia habari za kufungua kesi wakati pesa iko kwenu naa apa mimi na kizazi changu kuto kutumia bank yenu na wala kuomba kazi kwenu yaanii I hate this bank sijui
Ila kazi njema but this technology mnapoleta muwe mnakuwa kin sana kwa kuitest before haijamfikia mlaji but kiukweli mlinihalibia sana nikaishi maisha ya chuo mahumu mzee haelewi anajua. Nimehongaa

Pantaloo genius
Aisee 800 parefu ningekua mzazi sijui ningekuelewaje?
 
Leo nimekoma kutumia nnb mobile, hela yangu na mateso napata Mimi.Mpaka sasa hamtaki kupokea simu yangu amnanisubirisha tu.Juzi mmenikomoa kwenye DART hivyo hivyo.
 
NMB Mbarali,wanalazimisha watu wakachukue hela mtaani kwa wakala wao,huku wakiwa wameharibu ATM machine zao makusudi!

NMB acheni kufanya biashara kwa mazoea,halafu nyinyi wafanyakazi acheni ushamba wa kujiona mmesoma kuliko wateja wenu,kiufupi uwezo wenu ni mdogo ndomana mmeajiliwa,mngekua na akili mngefungua miradi yenu ili msaidie ndugu zenu vijijini.
 
yaan kwa kero hizi zote zilizoelezwa na wadau mie pia zimenitokea sehem mbalimbali ila kuna dada mmoja apa Tanga tawi la madaraka ana nywele za kipilipili kweli kabisa kama una roho ndogo unaweza mlamba makofi alivyo na dharau,nilitaka kufungua account pale cha ajabu aliikataa barua ya mwajiri wangu na kunipa fomu akapitishe mtendaji wa kijiji eti ndio utaratibu wenu,mko kizamani sana,nikabidi nifungue CRDB,badilikeni acheni kuendesha benk kichama chama.
Hapo nilishakutana na majibu mpk leo sitapasahau...
 
NMB Mbarali,wanalazimisha watu wakachukue hela mtaani kwa wakala wao,huku wakiwa wameharibu ATM machine zao makusudi!

NMB acheni kufanya biashara kwa mazoea,halafu nyinyi wafanyakazi acheni ushamba wa kujiona mmesoma kuliko wateja wenu,kiufupi uwezo wenu ni mdogo ndomana mmeajiliwa,mngekua na akili mngefungua miradi yenu ili msaidie ndugu zenu vijijini.
Hacha uongo nmb mbarali atm zao zipo vizuri sanaaaaa,,,,kama uongo njoo lugelele hapa
 
NMB Mbarali,wanalazimisha watu wakachukue hela mtaani kwa wakala wao,huku wakiwa wameharibu ATM machine zao makusudi!

NMB acheni kufanya biashara kwa mazoea,halafu nyinyi wafanyakazi acheni ushamba wa kujiona mmesoma kuliko wateja wenu,kiufupi uwezo wenu ni mdogo ndomana mmeajiliwa,mngekua na akili mngefungua miradi yenu ili msaidie ndugu zenu vijijini.
Kweli kabisa mkuu, wafanyakazi wa NMB Bank . Wanazingua sana, inafikia kipindi unaogopa hata kuwa na izi mobile bank . Maana wanaweza Wakaamisha hata pesa awa
 
Leo jumatatu nawapigia hampokei tens, ngojea niwaibukie huko ofisini kwao baada ya shughuli zangu.Poor u NMB na nimejifunza , sirudii tena Huduma yenu ya nmb mobile.
 
Nimesikia hii habari lakini sijui ina faida ipi kwa mkulima, na inafanyaje kazi. Kwa ujumla napenda mwenye kujua kwa undani kuhusu eKilimo anifafanulie tafadhali.
Natanguliza shukrani.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Jaribuni kuwa na huduma nzuri kwa wateja sio mteja mnamzungusha mpka anaamua kuwahama kwenda benk nyingine
 
Naomba kuelimishwa kuhusu riba/interest za kwenye hizi benki zetu Tanzania hasa NMB yaan leo nimejaribu kwenda kurequest mkopo wa 7,500,00 naambiwa ntalipa milioni 13,600,00 wakati huo huo tunaambiwa riba ni 22% ni calculation za uchumi, wizi, unyonyaji au ni kitu gani?
Hawa jamaa nimewavulia kofia, kuna jamaa kakopa 10m eti anatakiwa arudishe 17m! NMB mungu anawaona.
 
hata mimi nimekopa 8m na narudisha 13m..

hawa jamaa ni walafi vibaya mnoooo..

sina hamu nao... wanavigharama vya kijinga kijinga na unalipa mtejaaaa

Hawa jamaa nimewavulia kofia, kuna jamaa kakopa 10m eti anatakiwa arudishe 17m! NMB mungu anawaona.[/QUOTE
 
Huduma zenu kwenye junior account ni F, kama hiyo Huduma haipo bora muwe wakweli...
Nlijaza standing order mwaka jana, nmejaza tena mwaka huu muwe mnakata hela kwenye account yangu kila mwisho wa mwezi mnaweka kwenye junior account cha ajabu huduma sipati nikija bank bla bla mara nijaze tena fomu, mnakera
NMB Tanzania NMB Tanzania
 
NMB hamna mfumo mzuri na salama wa kuchukua fedha kutoka kwenye mashine zenu za ATM, hii imepelekea kuwasababishia hasara ya kupoteza fedha baadhi ya wateja wenu mmoja kati yao nikiwa mimi mwenyewe nilie poteza fedha kiasi cha shilingi laki mbili kutokana na matatizo ya kiufundi mashine zenu
 
Ivi kwa nini? Katika NMB bank kusiwe na huduma ya kuweka fedha kupitia ATM mashine kuliko kupanga foreni ndani wakati wa kuweka
 
Back
Top Bottom