NMB Bank mko makini kwenye uuzaji wa shares zenu? Mbona mnatufanya waanachi mambubumbu? Tangu lini shares zikauzwa bila "prospectus". Tukiwauliza watendaji wenu wanasema eti "safari hii mmetoa leafet/vipeperushi tu! Kwa mtu yoyote anayejua maana ya hisa haiwezekani ununue hisa kwa kutumia "kipeperushi". Kama hamko tayari mtuambie tusubiri hizo "prospectus".