NMB. Please msaada wa interview zao kwa wajuzi

Sio Siri wakuu naona mnataka niendelee kukaa home, sioni possible questions mkinipa zaidi ya utani mwingi
Mkuu narudia tena jiandae na magazijuto....elewa fomula yake...jitahidi uwe na spidi tu kweny kuyajibu.....written hawaulizi chochote kuhusu benk au sales...ni mafumbo na magazijuto..
 
Poa mkuu. Shukran sana
 
Hapo mkuu kwa position hiyo jiandae kuzijua products wanazo offer nmb including Chap Chap Account,pia unaweza ulizwa endapo utapata hicho kibarua utafanyaje ili kampuni ipate wateja wengi hususani kufungua Chap Chap Account,ni hayo tu
 
Natanguliza shukrani mkuu
 
Nimeshawah kufanya interview NMB maswali yao ni zile hesabu za mafumbo mafumbo, kama huyo jamaa hapo aliyekwambia kwamba "bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?" Its true huwa wanatoaga maswali ya namna hiyo so inabidi IQ yako ya maths iwe high kidogo, then kwa kukusaidia tu ingia google search for quantitative aptitude test za india itakusaidia kidogo
 
wanaanzaga na written sana, kwa written soma Soma sana tenses na grammer kama hauko vizuri. pia pitia mahesabu yale ya primary ya maumbo ya mstatili ama duara etc.
 
Nimeshawah kufanya interview NMB maswali yao ni zile hesabu za mafumbo mafumbo, kama huyo jamaa hapo aliyekwambia kwamba "bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?" Its true huwa wanatoaga maswali ya namna hiyo so inabidi IQ yako ya maths iwe high kidogo, then kwa kukusaidia tu ingia google search for quantitative aptitude test za india itakusaidia kidogo

Asante sana
 
Sijui kwakweli binafsi sijawahi omba kibarua huko
Uhandisi na mambo ya fedha wapi na wapi ngoja waje
 
Hata ujue maumbo ya mstatili na mazaga gani kaa ukijua tu kuwa bila kuwa na mmbuyu hupenyi pale.🤣🤣🤣
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom