Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,715
Aende kwenye interview akiwa na akili kuwa hatakaa aitwe tena.Kivipi bebe
Aende kwenye interview akiwa na akili kuwa hatakaa aitwe tena.Kivipi bebe
Mkuu narudia tena jiandae na magazijuto....elewa fomula yake...jitahidi uwe na spidi tu kweny kuyajibu.....written hawaulizi chochote kuhusu benk au sales...ni mafumbo na magazijuto..Sio Siri wakuu naona mnataka niendelee kukaa home, sioni possible questions mkinipa zaidi ya utani mwingi
Hapo mkuu kwa position hiyo jiandae kuzijua products wanazo offer nmb including Chap Chap Account,pia unaweza ulizwa endapo utapata hicho kibarua utafanyaje ili kampuni ipate wateja wengi hususani kufungua Chap Chap Account,ni hayo tu
Sio Siri wakuu naona mnataka niendelee kukaa home, sioni possible questions mkinipa zaidi ya utani mwingi
pigana mkuu hapa utapotezwa tu maswali yao hua hyatabirikiSalamu kwenu Marafiki watafutaji.
Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
Wala sio connection... Mimi pia nililiona tangazo lao na nikamwambia mdogo wangu a apply... Nliliona kwenye mtandaoConnection
Nimeshawah kufanya interview NMB maswali yao ni zile hesabu za mafumbo mafumbo, kama huyo jamaa hapo aliyekwambia kwamba "bata mbele ya bata na bata nyuma ya bata ni bata wangapi?" Its true huwa wanatoaga maswali ya namna hiyo so inabidi IQ yako ya maths iwe high kidogo, then kwa kukusaidia tu ingia google search for quantitative aptitude test za india itakusaidia kidogo
Kwani NMB wanatangazaga nafasi za kazi jaman? Mbona sijawahi kusikia.
Anafananisha labda na CRDBKaka search google andika “fursakazi” washatoa nafasi mara kibao na mara mwisho wametoa juzi tu
Wala sio connection... Mimi pia nililiona tangazo lao na nikamwambia mdogo wangu a apply... Nliliona kwenye mtandao
Duh!!Sasa kuna watu walishaambiwa kuna post zitatangazwa kabla ya wewe kuona
Duh!!