NMB mobile na wizi wa pesa kwenye acount za wateja

Namba nne zinatengeneza 10,000 combinations na kama hiyo system imetengenezwa kwa standards itakataa kupokea namba baada ya kukosea mara kadhaa kama sim card inavyojilock ukikosea mara tatu.
Sijui NMB lakini kwenye experience yangu ATM pin ya cadi hauchagui mwenyewe, kadi inakuja na PIN yake kwenye secure envelope, hii inaondoa uwezekana wa mtu kuweka birthyear au namba rahisi kama 1111, 2222.

uko sahh japo naweza badilisha,
ila kweny kfungua nmb mobile sihtaj namba yak ya siri ila namba ya kad ambayo ukienda kaunta huwa intaumiwa na mhudum

Ni kweli kabisa Mkuu.Mwanzisha thread anapaswa "kutunga" story inayokaribiana na ukweli, siyo hiyo aliyotuwekea.
weng wenu naona mnabsha bila kufanya uchungz ila mjue ukiacha kad ovyo nikaweza pata ac no. Ur name na hzo tarakm tano za mwisho kwenye kad yak imekula kwako na ucje laum huktarfiwa ok

do u knw what is atm pin no. Ndo hzo tarakm nazokwambia

Pin number ni namba ya siri sio digits za mwisho, namba inayotumika kutolea pesa kwenye ATM.

A personal identification number (PIN, pronounced "pin") is a secret numeric password shared between a user and a system that can be used to authenticate the user to the system.

Unless hayo melezo ya NMB kwenye site yao ni uwongo, hauwezi kufungua NMB mobile bila pin.

kaka nachokwambia ni real kozi mi namiliki NMB account na natumia NMB mobile so trust me when i tell i know what am talking about! and niliweka hii post just kuwatahadharisha wana JF so hutaki kuamin that is ur problem not mine!

Leo nimepata habari kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana.

Anadai kuwa kwa kipindi kirefu sana laini yake ya voda (anayoitumia ktk nmb mobile) ina block mara kwa mara. Akienda kutengeneza anaambiwa laini inatumika na hajui nani anayetumia.Anaamua kutengeneza upya laini yake.

Leo ameenda bank kuangalia salio imepungua 1.2 millioni.

Ametoa bank statement ameona kuna transaction 4 zilizofanyika kwa njia ya NMB mobile na kutolewa kwa njia ya vodafasta kupitia ktk namba yake.

Muda ambao transaction imefanyika ni wakati ambao lain yake inakuwa ipo blocked.

Ameripoti polisi. Ameelekezwa aende Bank house posta kuna kitengo wanahusika na fraud.

NB. Inavyosadikika kuna mtu wa kukaribu anafahamu password zake, anatengeneza namba kwa watengeneza laini wa mtaani kisha anafanya wizi.

Take care.

Ni kweli hii huduma ya NMB mobile imekuwa na malalamikomengi siku za hivi karibuni! Kuna kipindi waliblock watu wote waliojisajili NMB Mobile kwa njia ya simu. Unashauriwa kuwa makini sana na hii huduma vinginevyo ni kutoitumia kabisa au kubakiza fedha za kununulia voucher na matumizi madogo madogo kama unaipenda huduma hii. Kuna watu ambao siyo waaminifu aidha ni watumishi wa NMB wenyewe hususani wale wanaokutumia password au mahackers ambao ndiyo kazi yao.

Jamani sasa transaction si inaonesha ac gani imepokea hiyo pesa hackers hafanyi hiyo shughuri baana,fuata taratibu the utapata ur tsh bro

Jamani sasa transaction si inaonesha ac gani imepokea hiyo pesa hackers hafanyi hiyo shughuri baana,fuata taratibu the utapata ur tsh bro

kuna huduma yao mpya ya pesafasta. Unatuma pesa kwenye number ya simu.

sasa huo ni uzembe wa nani ndo maana ikaitwa password,na tena zipo mbili password ya atm na ya simu wakati unalogin nmb mobile huyo mtu kajua zote hizo lazima atakua mtu wa karibu kwel kwel...bado amezijua taharifa zako zilizomuwezesha kwenda kuua namba yako na kufanya swap? Angalia asije kuwa wife.

NMB Kenyatta Rd. Mwanza inaongoza kwa matukio hayo ya wizi. Wafanyakazi wenzagu 6 ambao nipo karibu na acha wengine ambao hatupo karibu wameibiwa kwa njia hiyo,kibaya zaidi watumishi wa benki hawataki kuonyesha ushirikiano,ktama vile wanawajua wezi ila wanawalinda!

Namba nne zinatengeneza 10,000 combinations na kama hiyo system imetengenezwa kwa standards itakataa kupokea namba baada ya kukosea mara kadhaa kama sim card inavyojilock ukikosea mara tatu.
Sijui NMB lakini kwenye experience yangu ATM pin ya cadi hauchagui mwenyewe, kadi inakuja na PIN yake kwenye secure envelope, hii inaondoa uwezekana wa mtu kuweka birthyear au namba rahisi kama 1111, 2222.

A Point of correction. ATM machines nyingi zina option ya kubadilisha PIN na kuweka unayotaka, hata hivyo inashauriwa kubadilisha PIN mara kwa mara kwa sababu za kiusalama.
NAWASILISHA

Point to note:Server ya Nmb ina tatizo so nakushauri usinunue salio kwa njia hiyo coz utakatwa fedha kwenye akaunti yako lakini halitoingia kwenye simu na tatizo hilo wa kulisolve ni nmb so hata ukipiga simu customer care usitegemee msaada zaidi ya kupewa hopes...

nilishawahi ku-recharge kwa nmb mobile...., hadi step ya mwisho ya ku-confirm pale ikagoma.., lakn ni kweli salio lilikatwa
Siku nyingine..., namtumia jamaa yangu mchango wa harusi maana na yy amejisajili nmb mobile.., nafika step ya mwsho wananambia nibonyeze sifuri ku-confirm..., ikagoma lakn laki moja ilipotea na nlipoenda fatilia mlimani city ambapo nliomba mini statement ilionesha ile transaction lakn jamaa yangu hakupata ile pesa.., na ni mtu namuamn asingeweza kunidanganya..., 2 ths day staki kabisa kuitumia kwa malipo au ku2ma pesa.., mm naangaalia 2 salary imeingia au la...

na ukitaka kujua hii system ina matatizo yake..., ukiangalia balance ina flactuate sana...., mara inashuka mara inapanda..., kuweni makini na tarakimu nne za mwisho za balance yako, utagundua hili

Back
Top Bottom