NMB mobile mtarudisha ela lini?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,329
Nlitransfer ela toka kwenye acount kwenda kwenye mtandao wa simu...kwa bahat mbaya hyo ela haikufika...nmejaribu kufuatilia ile ela irudi kwenye acount but imekua kama maigizo coz kila napofuatilia naambiwa wanasubiri wajibiwe na mtandao wa simu...sasa ela zenyewe hizi za magumashi then mnategemea tunaishije...co ni mwez now unakatika...itz not fair jamani...
 
Wanajidhalilisha, haya yote walipaswa kuyaona na kuyafanyia kazi kabla hawajaanza kutoa huduma kupitia mfumo husika, ingependeza ukawashtaki nao wakulipe riba ili wajifunze
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom