NMB MOBILE mnatuboa watanzania

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
864
534
Wana jamvi. Hawa watu wa NMB MOBILE mbona mara nyingi wanakuwa na matatizo? Mara nyingi napohitaji huduma hiyo kupitia simu yangu wanasema EXTERNAL APPLICATION DOWN. Inapofika mwisho wa mwezi (siku za mishahara)ndio inakuwa balaa zaidi. Kama huduma imewashinda ni heri wabinafsishe hiko kitengo kwa makampuni yenye mitaji mikubwa duniani. Wanajamvi naomba mtiririke kuhusu kadhia hii.
 
Pole mkuu mimi nimekumbana na tatizo hilo sana niliwahi kuwatumia barua pepe ya complain yangu kuhusu kutofanya kazi mara kwa mara tena kwa muda mrefu lakini sijaona improvement , kwa sababu nina accounts benki zingine basi akiba yangu kwa kiasi kikubwa ninaweka kwenye hizo bank zingine badala ya NMB maana kama NMB mobile haufanyi kazi alafu kwenye ATM kuna misururu mirefu ndani usiseme kuna haja kuwaachia watu ambao hawana mbadala.
Wana jamvi. Hawa watu wa NMB MOBILE mbona mara nyingi wanakuwa na matatizo? Mara nyingi napohitaji huduma hiyo kupitia simu yangu wanasema EXTERNAL APPLICATION DOWN. Inapofika mwisho wa mwezi (siku za mishahara)ndio inakuwa balaa zaidi. Kama huduma imewashinda ni heri wabinafsishe hiko kitengo kwa makampuni yenye mitaji mikubwa duniani. Wanajamvi naomba mtiririke kuhusu kadhia hii.
 
NMB ni janga lingine la Taifa kisa tu ni kwamba wanapelekewa wateja kwa lazima kwakuwa watumishi wa umma wote ni lazima mishahara ipitie kwao ndio maana wamejibweteka wanafanya biashara za kizamani wao wanapo ona msururu mrefu wa wateja wanajisikia fahari kumbe foleni ndefu kwa wateja ni indicator ya failure kwa mtoa huduma mimi nilijiunga na huduma ya salary notification ikifika mwisho wa mwezi wanaanza kunitumia matangazo yao na kukata hela badala ya kunitumia notification kwanini wanikate hela wakati wao ndo wanafanya biashara kwanjia ya matangazo? wananiboa kweli
 
It's just a "MICROfinance Bank" not even a commercial bank, so wasamehe bure!!!!!!
 
Dah mi mwnyw leo tokea asubuhi mpaka sasa kila nikiitumia inaniambia EXTERNAL APPLICATION DOWN, nikajua ni simu yangu tu, kumbe tatizo liko kwao!!!! Nilitakiwa nitume pesa kwa mtu flani tokea saa 2 asubuhi , lakini mpaka sasa nimeshindwa!!! Jamaa nikimwambia hanielewi !!!... Yani majanga tupu!! mpaka niende Atm kutoa.. kama ndio hivi, bora isingekuwepo kabisa..!!
 
Mkuu ukituma pesa kutoka NMB kwenda kwa M PESA kwa kutumia NMB mobile uwe makini tuma kwa mtu unayemuamini sana, mimi niliwahi mtumia mtuu laki nne badala ya laki mbili sababu ilikuwa kila nikituma inajibu muamala haujafanikiwa kumbe pesa zimesha kuwa transfered basi ninatuma tena ilikuwa utata kurudishiwa pesa zangu na niliyemzidishia
Dah mi mwnyw leo tokea asubuhi mpaka sasa kila nikiitumia inaniambia EXTERNAL APPLICATION DOWN, nikajua ni simu yangu tu, kumbe tatizo liko kwao!!!! Nilitakiwa nitume pesa kwa mtu flani tokea saa 2 asubuhi , lakini mpaka sasa nimeshindwa!!! Jamaa nikimwambia hanielewi !!!... Yani majanga tupu!! mpaka niende Atm kutoa.. kama ndio hivi, bora isingekuwepo kabisa..!!
 
Niseme tu huduma hizi mabenki mengi wanasusua - mfano kuregister unakuta inachukua muda mrefu, ukiwa na tatizo kulitatua wakati mwingine ni zaidi ya siku3 had wiki.
WITO kwa vyombo vyetu vya fedha

Huduma hizi ni nzuri tu pale mtakapobadilika na kujua umuhimu wa huduma nzuri wakati wote mfano ATM unaambiwa ni huduma masaa 24 ukienda week end zaidi ya siku nzima iko down au mbaya zaid fedha zimeisha.

Vema msikurupuke kuanzisha halafu huduma haina viwango vya ubora, pia IT team muwajulisha kuwa hii ni huduma mpya ya kileo waache lugha za njoo kesho, samahani tuko down kidogo....
 
Sorry nsomba niwaeleweshe kdg......watumisho WA serikali hawalaximishwi kuchukua mishahara nmb pili suala la nmb mobile co la nmb pekee wkt mwingine inasababishwa na mobile subscriber Wako km hayupo vzr cku iyo it means nmb mob itakuwa down na c nmb pekee wenye huduma hii benki zote zenye hii huwa na tatizo hili ILA kinachowaponza nmb ni huu uwingi WA wateja ndo maana tunahic ni very big issue
 
Jambo la muhim kujua ni kuwa benki zote zenye huduma ya mobile service zinategemea sana uimara wa makampuni ya simu, hivo tusilaumu sana NMB bila kujua chanzo cha kukwama huduma ya NMB mobile ni nini?
 
Mkuu hili la NMB mobile usitetee marekebisho yanahitajika wako hovyo sana kuliko huduma yoyote ya kifedda inayotumia mtatandao ninaongea from my experience kwa sababu bila kupepesa macho muda mrefu ninatumia Nmb Mobile, CRDB Sim banking, EXIM E banking, Tigo pesa, M pesa na Airtel money labda easy pesa ndio sina pia ninatumia line za Voda, Tigo, AIRTEL, ZANTEL na TTCL . Kutokana na matumizi yangu hayo nina uhakika NMB mobile ni hovyo kuliko wote na pia sasa hivi kuna tatiko kwenye ATM za NMB nyingi ukitoa pesa inabaki haitoki inabaki kwenye mashine unaishi kupata risiti na ujumbe kwenye simu kama kadi yako imetoa pesa, hapo ndio utakiwa kuandika mibarua hali hii inatokea kwenye bank nyingi lakini ninyi imezidi sijui mmenunua ATM fake.

Ebu rekebisheni tunajua mna mazuri mengi kwa mtanzania wa kawaida hasa hili la kuwa na branches na ATM kuliko bank yoyote ata vijijini, ila mmejisahau sana NMB
Sorry nsomba niwaeleweshe kdg......watumisho WA serikali hawalaximishwi kuchukua mishahara nmb pili suala la nmb mobile co la nmb pekee wkt mwingine inasababishwa na mobile subscriber Wako km hayupo vzr cku iyo it means nmb mob itakuwa down na c nmb pekee wenye huduma hii benki zote zenye hii huwa na tatizo hili ILA kinachowaponza nmb ni huu uwingi WA wateja ndo maana tunahic ni very big issue
 
Jambo la muhim kujua ni kuwa benki zote zenye huduma ya mobile service zinategemea sana uimara wa makampuni ya simu, hivo tusilaumu sana NMB bila kujua chanzo cha kukwama huduma ya NMB mobile ni nini?

You are wrong Ngosha, unapofanya huduma ya simu kwa kupitia simu ya mkononi kuna vitu vitatu.
1. Bank
2. Network operator (mitandao ya simu)
3. Payment partner (eg. Selcom wireless etc.)

Hivi ulishawahi kuhamisha pesa kutoka bank a/c kuja kwenye account yako ya m-pesa/tigo pesa/airtel money halafu ikawa kwenye bank imehama ila kwenye account yako ya mpesa/tigo pesa/airtel money haionekani?

The fact;
Unapofanya muamala toka kampuni moja (eg. Bank) kwenda nyingine (eg. M-pesa) pesa zinahama toka akaunt A zinakuwa held kwenye akaunt B ya payment business partner (eg. Selcom wireless) na hapo unapata sms kuwa muamala wako utakamilishwa ndani ya dakika 30 maana yake the funds are held on middle akaunt (eg. Selcom wireless) so kwenye destination akaunti C (eg. m-pesa) inakuwa haijafika. Sasa tatizo linakuja pesa zimehama bank na huyu selcom ana tatizo kwenye akaunti yake so pesa zinakuwa pending muda mrefu (mostly occurs at the end of each month). Ukipiga simu bank wanakuambia imehama, ukipiga simu mfano voda wanakuambia hakuna muamala wa bank uliokuja huku, na bahati mbaya mteja hutakiwi kuambiwa taarifa za ndani kama hzi so wewe unaambiwa suala lako litafanyiwa kazi, na hapa kampuni ya simu ya mtandao uliotumia ndo wanacommunicate na hawa Selcom kuharakisha update ya miamala ya wateja iliyokuwa held kwenye akaunti yao.
Hii iko hivo hivo hata unapolipia LUKU, Ving'amuzi, Banks n.k So msiwatukane customer care mkadhani kuna uzembe, kuna huyu invisible partner (selcom) ndo tatizo (sio invisible Mod wa humu JF ha ha haaa)
Unapofanya muamala unapata ujumbe "Powered by Selcom mobile" eheeee...ndo hivo sasa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wana jamvi. Hawa watu wa NMB MOBILE mbona mara nyingi wanakuwa na matatizo? Mara nyingi napohitaji huduma hiyo kupitia simu yangu wanasema EXTERNAL APPLICATION DOWN. Inapofika mwisho wa mwezi (siku za mishahara)ndio inakuwa balaa zaidi. Kama huduma imewashinda ni heri wabinafsishe hiko kitengo kwa makampuni yenye mitaji mikubwa duniani. Wanajamvi naomba mtiririke kuhusu kadhia hii.

Tatizo hili huwa kubwa zaidi endapo unatumia namba ya Tigo. Mimi niliachana kabisa na NMB mobile.
 
NMB ni janga lingine la Taifa kisa tu ni kwamba wanapelekewa wateja kwa lazima kwakuwa watumishi wa umma wote ni lazima mishahara ipitie kwao ndio maana wamejibweteka wanafanya biashara za kizamani wao wanapo ona msururu mrefu wa wateja wanajisikia fahari kumbe foleni ndefu kwa wateja ni indicator ya failure kwa mtoa huduma mimi nilijiunga na huduma ya salary notification ikifika mwisho wa mwezi wanaanza kunitumia matangazo yao na kukata hela badala ya kunitumia notification kwanini wanikate hela wakati wao ndo wanafanya biashara kwanjia ya matangazo? wananiboa kweli

Kuna watumishi wa UMMA wengi wanapitishia mishahara yao CRDB.
 
Zama za kulazimishana kwamba mshahara lazima upite bank fulani sasa umefika ukingoni, mfumo wa sasa wa hazina unaruhusu mshahara wako kupitia bank yoyote unayotaka, lakini pia unaweza kukopa bank yoyote bila kulazimika kuhamishia mshahara kwenye bank unayotaka kukopa.....! hili la mobile banking wadau nadhani wamekuelewa....imebaki kujirekebisha tu!
 
Mkuu ni idara zipi na taratibu za kubadilisha zikoje?NMB wana boa sana ukinisaidia kujua taratibu mimi nitahamisha mshahara wangu nipeleke CRDB
 
Back
Top Bottom