vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 864
- 535
Wana jamvi. Hawa watu wa NMB MOBILE mbona mara nyingi wanakuwa na matatizo? Mara nyingi napohitaji huduma hiyo kupitia simu yangu wanasema EXTERNAL APPLICATION DOWN. Inapofika mwisho wa mwezi (siku za mishahara)ndio inakuwa balaa zaidi. Kama huduma imewashinda ni heri wabinafsishe hiko kitengo kwa makampuni yenye mitaji mikubwa duniani. Wanajamvi naomba mtiririke kuhusu kadhia hii.