NMB kuna nini? Mimi mgeni wa NMB inakuaje tunaaribiana weekend?😃

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Tangu Ijumaa mpaka leo mtandao haufanyi kazi upande wa mobile money unaandika hakuna huduma kwa sasa jaribu baadae.

Nani ana experience tatizo kama hili?
 
Mbona me fresh tu.

37E20A16-9FE9-4294-84E0-C42C1A1029AF.jpeg
 
Tangu Ijumaa mpaka leo mtandao haufanyi kazi upande wa mobile money unaandika hakuna huduma kwa sasa jaribu baadae.

Nani ana experience tatizo kama hili?
... Kiongozi pole; najua namna gani inakera unapokosa huduma ya kujipatia vijisenti vyako pale unapokuwa na dharura; inakera kweli kweli. Kwa ujumbe ulioandika, most likely tatizo sio mtandao wa NMB, tatizo huna salio kwenye akaunti yako ya mtandao unaotumia; si unajua tena mambo ya tozo? Kwa kila transaction unayofanya lazima serikali ipate chake na inakipatia kutoka kwenye salio la kawaida kwenye simu yako. Kama salio halipo hupati huduma.

Jaribu kuongeza salio utaona *150*66# (NMB) inakubali. Hata hivyo ujinga wao ni kutotoa clear message kwa mtumiaji ili ajue tatizo liko wapi badala yake wanatoa tu ujumbe wa jumla jumla. Wangesema kwa mfano, "Huna salio la kutosha kwenye simu yako kwa Serikali kupata tozo yake. Ongeza salio kupata huduma ya NMB"; at least mtumiaji angeelewa tatizo nini.
 
Tangu Ijumaa mpaka leo mtandao haufanyi kazi upande wa mobile money unaandika hakuna huduma kwa sasa jaribu baadae.

Nani ana experience tatizo kama hili?
Kama una mastercard au visa card na airtel money toa via airtelmoney app
 
Back
Top Bottom