polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,359
- 5,808
Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi.
Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na kinachoendelea tunaomba ufafanuzi.
Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na kinachoendelea tunaomba ufafanuzi.