NMB Congo Branch - Kariakoo mnatia aibu, mnakatisha tamaa, hamjui mnachokifanya

Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
934
1,000
Wasalaam ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu NMB tawi la Congo Kariakoo, wanatia aibu sana katika nyanja mbalimbali.

kuhudumia wateja slow sana kiasi kwamba unakaa kwenye foleni mpaka unasinzia

Bank Teller wako wawili tu tawi zima, mpaka kusababisha adha ya uwekaji na utoaji wa fedha.

RAI, kwa bank ya Nmb tawi la congo tunaomba marekebisho haraka sana kunusuru biashara na mzunguko wa fedha .

Nawasilisha.
 
Monster20

Senior Member
Nov 30, 2020
121
250

Toa fedha zako huko, bank zikko nyingi zenye huduma bora, haraka na murua kabisa, kwa nini uteseke kwa kupanga feni masaa mengi wakati fedha ni zako mwenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom