NMB Bado hawajatii maelekezo ya BoT ya kupunguza Riba kwenye Mikopo

Kwa hiyo unataka kusema kuwa BOT ni viazi kwa kutoa maelekezo ambayo hawana mamlaka nayo?
Kama umesoma vyema waraka na sheria kwa pamoja - Kisheria,BOT hana mamlaka ya kulazimisha taasisi za kifedha kushusha riba kama anavyotaka manake inaweza kupelekea catastrophic collapse of the financial sector nchini,na hata waraka uliotoka BOT upo very optional
 
kutokana na Janga la UVIKO19 kuna baadhi ya nchi zimesamehewa baadhi ya mikopo walio pewa na WB na taasisi zingine za kifedha.
hivyo sio vibaya pia kwa Mabenki ya ndani kupunguza riba kwa wateja wake.
 
BoT wametoa maelekezo kutokana na Janga la UVIKO19, sasa ni jukumu la Mabenki kufanya adjustment
Stimulus package inatakiwa kutolewa na serikali yenyewe kwa ku inject pesa, siyo kuwawekea mabenki regulations halafu wewe ukawa mtazamaji.........imagine unachukua mkopo wa 1.3 trillion za IMF kwa ajili ya covid crisis na huna stimulus plan yoyote uliyoandaa, maana yake wewe ni kima uliyechangamka........
 
Kama umesoma vyema waraka na sheria kwa pamoja - Kisheria,BOT hana mamlaka ya kulazimisha taasisi za kifedha kushusha riba kama anavyotaka manake inaweza kupelekea catastrophic collapse of the financial sector nchini,na hata waraka uliotoka BOT upo very optional
hayo unayasema wewe lkn BoT ilijiridhisha kwa kutumia wataalamu wake kwanza kabla ya kutoa waraka.
na baadhi ya Mabenki waliridhia ikiwemo NMB lkn wamepata kigugumizi kutekeleza maelekezo hayo kwa lengo wanalo lijua wao.
BoT hawajakurupuka.
 
kwa nini Serikali isiingie Mkataba na Benki ya Kizalendo ya POSTA? kisha wakaachana na NMB.
Mkuu,In short unaongelea kisiasa sana-Hv vitu siyo virahisi kama unavyodhan.Hapo Mabenki kumbuka wana mikopo mbalimbali kutoka kwa wakopeshaji mbalimbali ambapo mikopo hii mingine unakuta walikopa BOT kwa 9 Percent na pia kutoka taasisi mbalimbali na watu binafsi kwa 10% bado hujaweka gharama za uendeshaji kama kulipa staffs,Risks kutokana na mikopo chechefu nk. sasa wewe unategemea waje wakukopeshe for 9% ambayo ni ndogo kuliko waliyokopea? Si bora wakalime viazi sana,Binafsi naamini itashuka lakini siyo ghafla hivyo
 
hayo unayasema wewe lkn BoT ilijiridhisha kwa kutumia wataalamu wake kwanza kabla ya kutoa waraka.
na baadhi ya Mabenki waliridhia ikiwemo NMB lkn wamepata kigugumizi kutekeleza maelekezo hayo kwa lengo wanalo lijua wao.
BoT hawajakurupuka.
Nionyeshe kifungu kinacholazimisha benki kushusha riba kupitia huo waraka otherwise utakuwa unaongelea porojo hapa
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa BOT ni viazi kwa kutoa maelekezo ambayo hawana mamlaka nayo?
Unataka kusema kama hivi?
Screenshot_20210918-093707.png
 
Stimulus package inatakiwa kutolewa na serikali yenyewe kwa ku inject pesa, siyo kuwawekea mabenki regulations halafu wewe ukawa mtazamaji.........imagine unachukua mkopo wa 1.3 trillion za IMF kwa ajili ya covid crisis na huna stimulus plan yoyote uliyoandaa, maana yake wewe ni kima uliyechangamka........
Huyu jamaa kuna mambo mengi sana hana uelewa nayo kwenye mambo ya operations za financial sector ikiwemo sheria,Anachoangalia hapa ni maslahi yake binafsi tu na siyo logic behind
 
BoT wametoa maelekezo kutokana na Janga la UVIKO19, sasa ni jukumu la Mabenki kufanya adjustment

Maelekezo hayawezi kuwa lazima sababu ipo sheria inayowalinda service providers. Banks tayari wana mitaji na budgets zao kubadili plan ndani ya budgets zilezile haiwezekani

Unless hayo maelezo waliyopokea yawe yameambatana na funds toka huko yalikotoka
 
Tukiacha umagufuli kumbe huwa una madini kichwani 😁😁😁😁
 
Mkuu,In short unaongelea kisiasa sana-Hv vitu siyo virahisi kama unavyodhan.Hapo Mabenki kumbuka wana mikopo mbalimbali kutoka kwa wakopeshaji mbalimbali ambapo mikopo hii mingine unakuta walikopa BOT kwa 9 Percent na pia kutoka taasisi mbalimbali na watu binafsi kwa 10% bado hujaweka gharama za uendeshaji kama kulipa staffs,Risks kutokana na mikopo chechefu nk. sasa wewe unategemea waje wakukopeshe for 9% ambayo ni ndogo kuliko waliyokopea? Si bora wakalime viazi sana,Binafsi naamini itashuka lakini siyo ghafla hivyo
Mkuu maelekezo yametolewa na BoT chini ya wataalamu walio bobea wa fedha na uchumi.
hayo yote unayo yasema wewe yalitazamwa na yakaamuliwa yawe vipi, hivyo kwa sasa hakuna mjadala zaidi ya utekelezaji, kwa maoni yangu Benki ambayo inapaswa iwe mstari wa mbele kutekeleza maelekezo ya BoT ni Benki ya Makabwela NMB ambayo kwa asilimia kubwa inawahudumia watumishi wa Umma, iwasaidie kwa kupunguza Riba kwenye mikopo ili kuwapa nafuu ya kiuchumi ktk janga hili la UVIKO19.
kama NMB ikishindwa kuwasaidia wateja wake ktk kipindi hiki kigumu cha covid! basi iyakuwa imeonyesha mfano mbaya wa kutokuwajali na kuwathamini wateja wake.
 
Endapo NMB ikishindwa kuwasaidia wateja wake kwa kupunguza riba za mikopo ktk kipindi hiki kigumu cha covid! basi itakuwa imeonyesha mfano mbaya wa kutokuwajali na kuwathamini wateja wake wakati wa Janga hili.
 
Mkuu maelekezo yametolewa na BoT chini ya wataalamu walio bobea wa fedha na uchumi.
hayo yote unayo yasema wewe yalitazamwa na yakaamuliwa yawe vipi, hivyo kwa sasa hakuna mjadala zaidi ya utekelezaji, kwa maoni yangu Benki ambayo inapaswa iwe mstari wa mbele kutekeleza maelekezo ya BoT ni Benki ya Makabwela NMB ambayo kwa asilimia kubwa inawahudumia watumishi wa Umma, iwasaidie kwa kupunguza Riba kwenye mikopo ili kuwapa nafuu ya kiuchumi ktk janga hili la UVIKO19.
kama NMB ikishindwa kuwasaidia wateja wake ktk kipindi hiki kigumu cha covid! basi iyakuwa imeonyesha mfano mbaya wa kutokuwajali na kuwathamini wateja wake.
Usikubali kudanganywa-danganywa kama mtoto,wewe ni msomi hvyo unatakiwa utumie uwezo wako wa kufanya independent analysis kwa ku-integrate mambo mbalimbali ili kuwa na informed understanding-Siyo kila unachoambiwa kazi ni kuwa rubber stamp,Kwan serikali ilivyosema kila mwanafunzi katika kila shule kupewa laptop ulihitaji mtaalamu kukwambia kwamba hilo jambo haliwezekani Tanzania?
 
Mkuu,In short unaongelea kisiasa sana-Hv vitu siyo virahisi kama unavyodhan.Hapo Mabenki kumbuka wana mikopo mbalimbali kutoka kwa wakopeshaji mbalimbali ambapo mikopo hii mingine unakuta walikopa BOT kwa 9 Percent na pia kutoka taasisi mbalimbali na watu binafsi kwa 10% bado hujaweka gharama za uendeshaji kama kulipa staffs,Risks kutokana na mikopo chechefu nk. sasa wewe unategemea waje wakukopeshe for 9% ambayo ni ndogo kuliko waliyokopea? Si bora wakalime viazi sana,Binafsi naamini itashuka lakini siyo ghafla hivyo
Mkuu acha kuyatetea Mabenki kwa huu ujinga wao.Kumbuka BOT ndiyo msimamizi wao.Hadi kufikia kutoa maelekezo kuwa washushe riba ya mikopo wikuwa wamesha fanya tathimini ya kutosha zaidi ya unavyo elewa wewe.Shida ninayoiona ni kuwa viongozi wa taasisi nyingi za serikali nyakati hizi wanafanya uamuzi kwa kujivuta sana.Ingekuwa enzi ya Mwenda zake tusingekuwa tunayaandika haya, badala yake tungekuwa tunaulizana tu kuwa wewe umekopa Shilingi ngapi baada ya Riba kushushwa?
 
Mkuu ungekuwa unaelewa Financial sector inavyo-operate pamoja na politics Tanzania usinge-andika haya 🤣 🤣 🤣 Anyway-haya maelekezo yalikuwa tokea enzi za JPM-Things are not that much easier mzee ndo maana baadhi ya banks zimeshusha mpaka 14 percent tu na wanasema bado wanaangalia market trends-siyo wajinga kiivyo.Wewe ungekuwa CEO ungeshusha riba mpaka 9% kwa sababu serikali imesema ingali wewe hela ulikopa kwa lenders for 10percent or above?
 
Badala ya kuibana serikali wa inject funds kwenye mabenki kutokana na pesa waliyopata IMF ili benki ziweze kutoa relief kwenye mikopo, yeye kakomaa na mabenki tu, inaonekana huyo jamaa ni mgumu sana kuelewa. Yaani wajibu wa serikali unataka kuitwisha benki inayofanya biashara?
 
Ni vyema waziri wa Fedha akafuatilia utekelezaji wa agizo hili la BoT kwa nini halitekelezwi?
 
Back
Top Bottom