Nlitamani Mkapa vs CHADEMA na sio CUF vs Mkapa na JK vs CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nlitamani Mkapa vs CHADEMA na sio CUF vs Mkapa na JK vs CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Aug 12, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkapa hakutaka mchezo ktk utawala wake. Ukiwauliza Cuf wanajua na hawatasahu

  Naamini Arusha ingalkuwa ni ngome ya Jeshi la Polisi kama vile ilivyokuwa ZANZIBAR
  bunge lingalikuwa kimya, ziii hakuna angalinyayua mikono. kama Enzi za NCCR Mageuzi bungeni.
  Magazeti mengi yangalikuwa chini ya CCM tofauti na hivi sasa.
  Mbowe tayari angalikuwa mahabusu kama vile alivyopata mkongoto Lipumba.
  Dk slaa angalikuwa ziii kama alivyokuwa wakati wa Mkapa.
  ATHARI KWA JAMII.
  WANANCHI TUNGALIKOSA SINEMA KAMA HII INAYOENDELEA
   
 2. 00000

  00000 Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi waarusha tungalitafuta pakukimbilia
   
 3. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duhu, mkapa hatishiwi nyau
   
 4. 00000

  00000 Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wa mkpa. Magwanda yote yangalitiwa kapuni
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  nenda kajisaidie
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mkapa alikuwa makini hata chadema wasingepata nafasi.
  kikwete yuko loose ndo maana cdm inapeta.
  cuf wanamfaham mkapa kawaulize.
   
 7. K

  Kikambala Senior Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  You know why.mkapa alidhibiti serikali hivyo maisha yalikuwa rahisi,unajua alikaa miaka kumi nauli ya daladala ilipanda kwa shs 50 tu,mpka anaondoka mchele kilo shs 400.kama ****** angefanya hata nusu tu ya mkapa walahi kusingekuwa na taabu ukizingatia wabongo walivyo mazuzu bin mazezeta,taabu inakuja ktk miaka 6 tu nauli na maisha imepanda mara18,sasa usipo stuka basi wewe unafikiri kwa kutumia masaburi
   
Loading...