nlipotafuta sikupata...sasa ndio wanapatikana...

Nimeshakwambia hamna ndoa ya watu WATATU!Mmoja anakua ameolewa ila ana nyumba ndogo iliyohalalishwa...na huyo nyumba ndogo sio mke ni nyongeza tu kwenye tamaa za kibinadamu!Kwahiyo mke ni huyo wakwanza...wa pili ni mziniwa!Hopefully umenisoma sasa!
Sijakusoma!
Labda kwa kusoma vitabu vya dini...
1-uislam unaruhusu ndoa hadi kuoa wake wanne.
2-ukristo nasikia ni ndoa moja...japo sijaona andiko kwenye biblia.
So!
Sijui wanaoa kumfuata nani?
3-wapagani wanachukuana ili mradi wamependana...hawapendani zaidi ya me/ke.
Akizidisha itakua ni ugomvi.
4-serikali yetu inasema haina dini...lakini nawashangaa wanafungisha ndoa ya serikali. Nao ukitia signature itakua ndio huyo huyo.
5-mila inategemea na mila uliopo....nawapenda wamasai...wao wanaoa wake wengi.. ili mradi wanafuata mila. Pia wajaluo nawapenda wao wanaoa wake wengi.
Wapo makabila mengi japo sijafanya utafiti kwa undani.
 
pamoja na ukweli kuwa waowaji ni wachache ila ni bora nikaoa mimi (tafuta mwanaume aliyejichokea zake ) kuliko uke wenza.
 
Unaufuata vipi?
Upo mwema member...hata mpz wako anaenjoy kabisa!
Huna makuu!.
Ila kufuata imani hakuna jazba...ni kufuata reality.

Sidhani kama dini pekee inatosha mtu kufanya maamuzi binafsi.....kwa maana nyingine CHANGANYA NA ZAKO!!Kwahiyo mimi nachanganya mafundisho niliyopokea na kile nnachotaka mimi na matokeo ni kwamba ukewenza no thank you!!!Walio tayari waufurahie tu ila mimi mtanisamehe kwakweli.....kushea nikiwa nje sitakia ndo ije kua nikiwa ndani???
 
Sidhani kama dini pekee inatosha mtu kufanya maamuzi binafsi.....kwa maana nyingine CHANGANYA NA ZAKO!!Kwahiyo mimi nachanganya mafundisho niliyopokea na kile nnachotaka mimi na matokeo ni kwamba ukewenza no thank you!!!Walio tayari waufurahie tu ila mimi mtanisamehe kwakweli.....**kushea nikiwa nje sitakia ndo ije kua nikiwa ndani???**
Hapa kwenye nyota umenchekesha kweli!.
Una hakika gani upo peke yako?
Ushindwe kuuweza uke wenza!
Pia uke wenza ni ruhusa katika imani sahihi ya uislam.
So mumeo anaweza ongeza wake zaidi ya mke mmoja...iwapo atakua na uadilifu.
Uadilifu ni kwenye mahitaji muhim.
1-malazi.
2-chakula.
3-mavazi.
 
Hapa kwenye nyota umenchekesha kweli!.
Una hakika gani upo peke yako?
Ushindwe kuuweza uke wenza!
Pia uke wenza ni ruhusa katika imani sahihi ya uislam.
So mumeo anaweza ongeza wake zaidi ya mke mmoja...iwapo atakua na uadilifu.
Uadilifu ni kwenye mahitaji muhim.
1-malazi.
2-chakula.
3-mavazi.

Siwezi kua na wasiwasi na kitu nisichokijua!!!Nimeshakwambia siwezi kuukubali ukewenza sasa sijui ugumu hapo uko wapi...yani maana yake ni kwamba SIWEZI KUUKUBALI!!!!
Hahahahaha....uadilifu!!!Ntatafuta mume ambae hatataka huo ''UADILIFU'' wake uzawadiwe kwa kuleta mwanamke mwingine ndani ya nyumba!!!
 
Back
Top Bottom