Nkurunziza's flight fails to make landing at the Bujumbura airport

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Mwandishi wetu Robert Misigaro wa BBC Idhaa ya Maziwa Makuu anasema ndege ya Rais Nkurunziza imeshindwa kutua Bujumbura na huenda anaelekea nchini Uganda.

Wakati huohuo kuna taarifa zinadai kuwa Rais Nkurunziza amerejea Dar es Salaam Tanzania baada ya kushindwa kutua Bujumbura.

Chanzo: BBC

My Take: Umma Una Nguvu Na Ndiyo Uliyoweka Mamlaka Yoyote Katika Uongozi Hivyo Wanaweza Kufanya Maamuzi Yoyote Kwa Wakati Wowote, Hili Liwe Fundisho Kwa Marais Wengine Wa Afrika.

attachment.php

Attachments

  • Nkurunziza.png
    Nkurunziza.png
    25.3 KB · Views: 4,020
Mwandishi wetu Robert Misigaro wa BBC Idhaa ya Maziwa Makuu anasema ndege ya Rais Nkurunziza imeshindwa kutua Bujumbura na huenda anaelekea nchini Uganda. Wakati huohuo kuna taarifa zinadai kuwa Rais Nkurunziza amerejea Dar es Salaam Tanzania baada ya kushindwa kutua Bujumbura..

Source : BBC 16mins ago

Ameshindwa Kutua Kivp Hakukuwa Na Nafasi Au Amezuiliwa Jama Cjaelewa?
 
Back
Top Bottom