Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Nasikiliza DW-radio. Huyu mama anaanga AU kwa Kiswahili. Huu ni mwendelezo wa Lugha ya Kiswahili kupata nafasi katika bara la Afrika.
mbona iko powa tu, ameaga umoja wa afrika kwa lugha ya kiswahiliSoma ulicho andika.
Soma ulicho andika.
mbona iko powa tu, ameaga umoja wa afrika kwa lugha ya kiswahili
Angalia unachosema.
basi alishajistukia mapemaKaongezea maneno.
basi alishajistukia mapema
Umeongeza maneno.
Soma ujumbe si maneno ndugu yangu. Kila kitu kilikuwa sawa. Ndo maana wenzako walielewa
Tulia uandike vizuri we mwanamke! haraka ya nini?Nasikiliza DW-radio. Huyu mama anaanga AU kwa Kiswahili. Huu ni mwendelezo wa Lugha ya Kiswahili kupata nafasi katika bara la Afrika.
watz .....haoWengine wanakitangaza kiswahili sie tunakionea aibu au kukiogopa