nKo nJiA pAnDA Ungekuwa ww ungefanyaje, Tafadhal ushaur wk ni Muhimu sna!!!

double click

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
569
945
Mie ni kijana wa kiume Mwenye umr wa Miaka 23 nna mpenz ambao ana miaka 22. Huyu mpnz Wng Yupo masomon Arusha na mm nko Morogoro
 
Anakudharau huyo.Na kinachokuuma sio kwa sababu una mpenda sana ila gharama unazoingia mfukoni cha kufanya na tafuta chapembeni uwe unajimegea kamwe hutakaa ukasikia uchungu wala kuumia roho.Fanya hivyo sasa hivi
 
Mbona ulishawah kuileta hapa kwa ID nyingine........Kulikoni bado unakubali kupelekeshwa?
 
Dalili ya mvua n mawingu, na dalili ya mpezi kukuchoka ni dharau umeni soma dogo?
 
Ya nini ujilazimishe kuwa na mtu ambaye anakukwaza??

Isitoshe wewe bado kijana mdogo, usijipe presha ya kubembeleza mtu asiye na mwelekeo..!!
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka! Waliokaribu na mpenzi wako wanatumia fimbo kuua nyoka pangoni iliyobaki ujipange tu watu wanakusaidia kumpa dushelele.
 
Anakudharau huyo.Na kinachokuuma sio kwa sababu una mpenda sana ila gharama unazoingia mfukoni cha kufanya na tafuta chapembeni uwe unajimegea kamwe hutakaa ukasikia uchungu wala kuumia roho.Fanya hivyo sasa hivi

Unalosema ni kwel unajua kuna wakat huwa nafikiria kucheat lakn naona cyo poa?
 
ah pilw kijana...haya mambo ya kutafuta moyo wa mwenzako umelalia upande gani nani anayataka....wee kamatia hapo matombo demu ujienjoy mwana....huyo wa arusha ana gegedwa na wanafunzi wenzake.
 
Jikatae mapema sana dogo kabla hayajakukuta makubwa. Mademu wengine wakiwa na kaelimu kidogo alafu wewe ni wa kitaa tu wanakuona sio taipu yao ila anakusaidia tu ipo siku atakuonesha laivu aliye taipu yake so jiondoe mwenyewe kabla hujakwangua viakiba vyote. Kuna rafiki yangu yamemkuta hayo kaangaika kuiba visenti vya baba yake mpaka kafirisi ofisi demu alikuwa anasoma mipango Dom jamaa kila wkend anampandia mwisho wa siku katambulishwa rasmi 'mwenye mali' ukouko Dom karudi mpoleee, kwa sasa jamaa kachanganyikiwa kabisa na mdingi kamtimua ofisini anazugazuga tu mitaani.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom