mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,661
- 18,035
Uko nyuma sana ya wakati! Ngoja nikupe habari kwa kifupi!hana lolote mbwembwe tu,mbona tayar NK imemuagiza wazir wa mambo ya nje wa RUSIA kuwaomba USA warudi kwenye meza ya mazungumzo,ameshaanza kufyata
1. Korea ya kaskazini alikataa mazungumzo yenye lengo la kumzuia kutengeneza silaha za nyuklia.
2. Sharti LA marekani ili mazungumzo yaanze ilikuwa ni korea ya kaskazini isitishe kwanza program ya nyuklia
3. Korea ya kaskazini imeshakamilisha ratiba ya utengenezaji wa nyuklia na makombora ya masafa marefu, kwa hiyo iko tayari kwa mazungumzo yenye lengo la amani huku akijua hakuna wa kumtishia! Na shartu la amani la NK ni marekani kuondoa majeshi yake korea ya kusini.
4. Alichokuwa anakikataa korea ya kaskazini ni mazungumzo ambayo mmoja anajiona mbabe! Akasema ngoja na Mimi niwe na hizo silaha za maangamizi ndo tuongee kwa kuheshimiana! LA hautaki shauri yako!