Masanja JF-Expert Member Aug 1, 2007 5,254 10,170 May 10, 2017 #2 Kila kitu kina mara ya kwanza. Hongera zake.
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 May 10, 2017 #6 nampongeza sana bwana Dullah, mke wake kapanda ndege kwa mara ya kwanza.
Hunyu JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,774 4,323 May 10, 2017 #8 Ndege mpya zina circuit breaker karibu na mlango wa kuingilia. Shikamoo ndege angani
koncho77 JF-Expert Member Feb 26, 2014 7,789 10,385 May 10, 2017 #9 Eti huyu ni mkeo Nyani Ngabu? JOKES
TOFU JF-Expert Member Aug 26, 2012 573 196 May 10, 2017 #10 Hongera.. Vipi Khalfan wife hajapiga nduru kweli ....!!??