Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,205
Jamani napenda mno kujifunza Kingereza na ukizingatia sasa hivi kila sehemu ni ENGLISH sasa wale tulosoma kayumba njooni tujifunze kuandika na kuongea hapa.
Najua wengi wetu humu watakuwa wanaturekebisha sisi wanafunzi. Utakapokosolewa usikasirike ndo mwanzo nwa kujifunza.
Hatua ambayo ninayo mimi najua kusoma na kusikia KINGEREZA ila kimbembe kipo kwenye kuandika na kuongea aseee ulimi unakuwa mzito mpaka basi.
Pia kama kuna app za kujifunzia mtusaidie. Kama wewe unajifunza kama mimi comment hapa chini kwa ENGLISH.
Thanks...🙏🙏