Eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education?

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
252
153
1)eti kuna kitu inaitwa ordinary diploma in primary education? namaanisha huyu awe mwalimu wa msingi lakini awe na diploma.

2) ipi bora kati ya grade A na hiyo ODPE ?
3) vyuo vinavyotoa odinary diploma in primary education viko wapi jamani mnipe mwanga
4) dogo ana EEF ataenda kweli dip huyu..mkuje kwa wingi mtoe maono wakuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom