Njooni mnaoelewa Kiingereza cha P.L.O Lumumba

blas·phe·mous
ˈblasfəməs/
adjective
  1. sacrilegious against God or sacred things; profane.
    "blasphemous and heretical talk"
    synonyms: sacrilegious, profane, irreligious, irreverent, impious, ungodly, godless
    "a blasphemous mock communion" itaendelea
Hapo ametumia maneno ya kilatini ambayo Mara nyingi suffixes zake huishia na '-ous'
 
Huyo profesa nayeye aache ulimbukeni na hiyo lugha ya malikia. Anadhani akitumia kingereza kigumu ndio njia pekee ya kuudhihirishia ulimwengu kuws yeye ni msomi na visionary.

Prof. Lumumba huwa anaongea point sana ila tafaadhali ningemshauri atumie simple language kuzungumzia complicated issues. And not otherwise.

Akifanya hivo naamini wengi tutaneemeka na hii hazina adhimu barani Afrika.

Ile ni lugha jitahid uijue sio kuponda# jifunze mkuu
 
Ebwanaeee ebu wanao elewa tuelewesheni asee
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
Nimesema MAIMUNA........
Mmmh huyu anaongea kiingereza kigumuuu
 
blas·phe·mous
ˈblasfəməs/
adjective
  1. sacrilegious against God or sacred things; profane.
    "blasphemous and heretical talk"
    synonyms: sacrilegious, profane, irreligious, irreverent, impious, ungodly, godless
    "a blasphemous mock communion" itaendelea
yaani badala ya kupunguza tatizo. Ndo umeongeza.
 
Huyo jamaa nimemfollow kule twitter lakini maneno yake magumu yananishinda hata kufatilia anacho kitweet.
 
Ndio maana ile mahakama ya upeo Kenya haikumuelewa akapigwa chini na Orengo. Tunatumia lugha kuwasiliana sasa huyu mwenzetu sijui anawasiliana na nani?
 
Back
Top Bottom