Njooni hapa, mambo yamekuwa magumu sana kwenye hii ndoa

Inaelekea hujui kuomba msamaha, miezi 6 hujasamehewa?
Tatizo wanaume hampendi kujishusha hata kama mmekosea. Hebu jishushe, onyesha kujuta, badili ratiba, kama ulikuwa unachelewa kurudi hebu jitahidi kuwahi.

Halafu swali la kizushi...We mchepuko umeuacha kweli? Hiyo miezi yote unaponea wapi wakati huduma ya ndani imesitishwa?
 
Halafu hapo unakuta jamaa hakuridhishi wala kukufurahisha. Ndo unagundua anajidai kijogoo cha mtaa? Sipati picha yaani!
Rip

Tukushauri nini? Mkeo yipo sahihi kwa nini akupe tendo la ndoa? Maradhi mengi. Imagine yeye atulize kujilinda halafu wewe unakitembeza starehe zako zisimcost maisha yake.

Pia hapo hatuna la kukushauri. Maana inategemea na kiasi gani umemuumiza mkeo. Ujue hakuna kitu kigumu kukijenga kama trust na hakuna kitu rahisi kukiharibu kama trust.

Mwache mpaka moyo wake utakapoamua kufunguka. Kwa sasa acha michepuko na omba sana moyo wa mkeo ulainike
 
Kwa hali hiyo ya kumkomoa utaenjoy vekesheni? Manake adventure ya vekesheni is sex on the beach, or in the garden. Wewe mawazo yote kwenye bili?

bora umkomoe na house upgrading kwanza, now sofas, new fridge, new beds and curtains ama new car. Ukishamsamehe wewe ndo umpeleke vekesheni
depending na uwezo wa mume,ntachagua spot ambayo akiwa analipia lazma asikie uchunguuu,..yani kimuume haswaaa akose hata sh 5 ya kumpa kimada
 
Hujui kuomba msamaha ujaribu hivi chukua vidonge ambavyo unajua haviui kuwa na packti ya maziwa mfukoni mjaribu tena kuomba samahani akikataa jaribu kumeza kwa kasi kama unajiua kwa sababu ya penzi , hapo utaangalia wapi upendo yakigoma omba rufaa kwa mamamkwe.
 
Kwa hali hiyo ya kumkomoa utaenjoy vekesheni? Manake adventure ya vekesheni is sex on the beach, or in the garden. Wewe mawazo yote kwenye bili?

bora umkomoe na house upgrading kwanza, now sofas, new fridge, new beds and curtains ama new car. Ukishamsamehe wewe ndo umpeleke vekesheni

it depends,kama ndani hali siipendi,anaanzia ndani na vacation juuu,mana ana hela za ziada hadi za kugawa nje
 
Yani mkeo ana akili sana, sijui nimpe zawadi gani!!! Anakupikia, anakufulia, unafanyiwa kila kitu, hiyo ndo shukrani yako kwake.
Usije thubutu kumlaumu hata siku 1, kama una vvu mwataka mshare na mkeo wakat we ndo mwenye makosa
 
Back
Top Bottom