Njoo ujifunze web design and development

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
794
656
Habari wanaJF, husuka na kichwa cha habari kinavyosema, natarajia kuanzisha training ya web design and development with affordable price kwanzia tarehe 04 july 2016 . Kama wewe ni mkazi wa dodoma njoo ujifunze web design and development bei bure kabisa.

"Creativity plus Technologies"
 
Attachments

  • ads.fw.png
    ads.fw.png
    73.5 KB · Views: 53
Sasa pindi unapigia wapi nyerere square au jamatini maana hujasema location ni wapi?
 
Mahali mail mbili miti.mirefu kama unaweA kuja toka mkoa wengine waweza kuja pia. Unakaribshwa
 
Habari wanaJF, husuka na kichwa cha habari kinavyosema, natarajia kuanzisha training ya web design and development with affordable price kwanzia tarehe 04 july 2016 . Kama wewe ni mkazi wa dodoma njoo ujifunze web design and development bei bure kabisa.

"Creativity plus Technologies"
Mjukuu wangu Hujambo??

Mbona umesema bei ni bure kabisa lakini kwenye picha uliyoambatanisha kuna gharama za pesa?? Bure kwako wewe ina maana gani??
 
Amount niliweka hakuna sehem utakayo pata kufundshwa hiyo training. Kama IT utakuwa unanielewa nnachoongea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom