Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

SEZARI AQUACULTURE SERVICES iliyopo ndani ya jiji la MWANZA, inakuletea Huduma bora za ufugaji Samaki( viumbe hai Wa majini), tunatoa Huduma zifuatazo: uchaguzi Wa eneo la kuchimba bwawa, uchimbaji Wa mabwawa, ujenz Wa mabwawa Na kuweka plastic sheet kama n lazima, urutubishaji wa bwawa Na kukinga magonjwa ya Samak, kupima ubora Wa Maji ya kufugia Samaki, Vifaranga bora Vya Samaki aina ya sato Na kambale, Vyakula bora Vya Samaki, utengenezaji Wa Cage( ufugaji kwenye vizimba), uzalishaji wa vifaranga bora vya samaki, utengenezaj Wa Aquariums, usafirishaji, Pamoja Na Huduma zote za ufugaji Samaki piga simu namba: 0769752665 au 0786688200Huduma zetu zinamfikia Mteja popote alipo bila shda yoyote, nyote mnakaribishwa.
IMG_20190115_123742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguvumali,
Hesabu inaonesha kibiashara unahitaji eneo kubwa kufanikisha ufugaji. Kwa mjini 2000 sq m ni kiwanja kikubwa, ambamo wanaweza kaa samaki 4000.

Kwa bei ya sh 8000 kwa kilo na uvunaji wa mara 2 kwa mwaka ni pato ghafi 32m. Kwa vijana wana anza maisha kutokea chuo bila mkopo, japo sijui gharama za ujenzi, nahisi inakuwa ngumu.
 
SURA YA KWANZA


UCHAGUZI WA ENEO KWAAJILI YA UJENZI WA BWAWA LA SAMAKI

*sifa za kuzingatia katika kuchagua eneo zuri la ufugaji wa samaki

1.maji
kwanza kabisa yatupasa kujua chanzo cha maji utakayo tumia katika bwawa lako je eneo unaloenda kuchagua katika ujenzi wa bwawa je maji yanapatikana, maji yakiwa yanapatikana basi kwa hatua hiyo sehemu hiyo inafaa

2.samaki unaotaka kufuga
pia ichi ni kitu cha kuzingatia sababu ya kupasa ujue samak unaohtaji kufuga wanapatikana pia je chakula kinapatikana muda wote na hali ya hewa inaruhuxu kuwa fuga

3.miundo mbinu
pia ichi ni kitu cha kuzingatia wakati wa uchaguzi wa eneo la kabla ya kujenga bwawa inatakiwa uzingatie huduma za kijamii zipo karibu ili kusudi uweze kufanikisha katika ukulima

4.usalama
pia hiki ni kitu muhimu ili ufanikishe katika ufugaji inatakiwa uchague sehemu iliyo salama

5.aina ya bwawa unalotaka kujenga
pia hiki ni kitu muhimu maana aina ya bwawa unalo taka kujenga ndio litakuambia kuwa ni eneo gani kupasa kuchagua


6.masuala ya sheria
hili pia ni suala muhimu maana yatupasa kufuata sheria zote za mazingira kabla ya kufanya maamuzi hayo ya kufuga.

wasiliana nasi kwa uchimbaji wa bwawa la kufugia samaki, vifaranga vyote sato, sangara na kambare.

call us ;: 0745478823, 0657570212
20181129_115159.jpeg
20180921_134425.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
New development in Fish Farming

Watu wengi wamekimbilia kufanya ufugaji wa samaki jambo ambalo ni zuri. Changamoto kubwa ambazo wamekutana nazo ni upatikanaji wa chakula bora cha samaki kilichoko katika mfumo unaorahisisha samaki kula vizuri (pellets) na upatikanaji wa mbegu bora zinazotoa guarantee ya kuvuna katika muda unatajwa kwenye theories (kilo moja katika miezi 6 kwa kambale na nusu kilo katika miezi sita kwa sato).
Utatuzi wake:

1. Pata mashine ya kutengeneza floating pellets fish feeds (Check Alibaba);

2. Kuwa makini kupata vifaranga vya mbegu hasa kambale hatujafanikiwa sana kupata mbegu za quality hiyo niliyotaja. Mafanikio haya nimeyaona Nigeria na Kenya. Be connected na watu waliofanikiwa.

3. Ingredients za vyakula zipo nyingi hata wakenya wengi wana import kutoka Tanzania ila kuweza kutengeneza chakula bora bado shida, jifunze Peason Square ujue uchanganyaji wa ingredients na CP zinazotakiwa kwa kila stage ya kukua kwa samaki wako (Growout na Finishing)

Kama utaweza kutatua changmoto hizo mgodi wa ufugaji samaki utatema dhahabu kwako, trust me, samaki wana ready market na guarantee ya price nzuri.

Untill next time, tupeane mengi
 
Wapi naweza pata elimu ya utengenezaji wa chakula cha samaki kwa vitendo mkuu?

@Untill next time, @tupeane mengi
 
Back
Top Bottom