Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

TESRA

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
307
261
c0b37dbcbebe52bd8e5f6cc6366e73df.jpg


Jupiter au Mshtarii ni sayari ya tano katika mfumo wa jua(solar system) .Jupiter ipo umbali wa km 778 million kutoka jua uku ikitumia miaka 11.86 kumaliza mzunguko wake ktk obiti(orbit) na pia hujizungusha ktk muhimili wake ndani ya masaa yasiyo zidi 10 kumaliza siku moja, ni sayari inayo jizungusha kwa kasi zaidi ktk muhimili wake kuliko sayari yeyote ktk mfumo wa jua uku ikirusha kila aina ya takataka ktk anga...

JUPITER imeundwa kwa gesi, Jupiter na surtun zinajulikana kama jitu sayari (jovian planets) .....pia Jupiter ni sayari kubwa kuliko sayari yeyote ktk mfumo wa jua ikiwa na kipenyo kinacho fikia Km 142,984 million( 88,846mil) na uzito wa sayari ni 1.321 g/Cm3................

Pia ina compose asilimia 88-92% ya hydrogen, 8-12% helium pamoja na methane,mvuke wa maji(water vapor), Ammonia na Silicon..

JUPITER ina doa jekundu(Great red spot) ambalo lilitokana na dhoruba kubwa lililotokea miaka 300 iliyopita ambalo liliikumba jupiter, huaminika kwamba kutokana na ukubwa wa hilo shimo dunia inaweza kumezwa au kuingia....

JUPITER ina miezi zaidi ya 60 ambapo mingine bado haijapewa majina lakini ni miezi mi NNE tu inayo julikana zaidi km Ganymede, Callisto,lo na Europa......

1. Ganymede ni mwezi mkubwa ktk mfumo wa jua na ni mkubwa kuliko ata sayari ya Mercury....Ganymede unakipenyo kinacho fikia km 5,268 uku ktk core yake ni rock..

2. Callisto ni mwezi wa Jupiter wenye kipenyo kinacho fikia km 4821 na core yake ikiwa ni liquid na inaaminika kwamba maji hupatikana ktk mwezi huu yapata km 100 kutoka ktk uso wake hadi ktk maji yalipo ..

3. Europa ni mwezi mdogo ktk sayari ya Jupiter na ni mwezi ulio kalibu zaidi na sayari ya Jupiter pia umeundwa kwa silicate.......

4. lo pia ni mwezi unaopatikana ktk sayari ya jupiter.. Miezi yote mi NNE iligunduliwa na Galilei Galileo mwaka 1610 kwa kutumia telescope...........Great red spot inayo patikana ktk sayari ya Jupiter iligunduliwa na Govan Cassin miaka ya 1660 kwa kutumia telescope moja kwa moja kutoka duniani iyo red spot ina urefu wa km 23,300 na upana wa km 13,000 .

1a098e1f49c15af2a5ce27f12d5fa9da.jpg


JUPITER imetembelewa na vyombo mbali mbali toka kugunduliwa kwake km vile Pioneer 10, voyager,Galileo, new horizons hiki chombo kiliitembelea Jupiter Feb 2007,

Pia mwaka 2011 kilitumwa chombo kilicho pewa jina JUNO kilicho fika ktk orbit ya Jupiter 4,July 2016 , chombo hiki kimetumia miaka 7 kutoka duniani hadi kufika sayari ya JUPITER uku kikitembea km laki 2.5 kwa saa...

Kikiwa ni chombo chenye spidi zaidi kuliko chombo chochote kilicho tengenezwa na mwanadamu .. ilipo fika mwezi July 2017 Juno ilikuwa imeukalibia mwezi Callisto unao patikana ktk sayari hii......sasa Juno inatuma picha mbalimbali za JUPITER pamoja na miezi yake.....

KUONEKANA KWA JUPITER kutoka duniani. jupiter ni miongoni mwa sayari inayo onekana kwa macho toka duniani, ni sayari yenye kung'aa sana baada ya Venus...ayo ni machache kuhusu JUPITER unaweza ongezea lolote
 
Shukran kwa darasa ila mkuu huo uzito wa jupiter waliupimaj, na hiyo JUNO ilikua pekeyake au ndani mlikua na watu? Miaka 7 kinasafirije bila kuishiwa fuel? Naomba elimu zaidi mkuu
Kwa hiyo speed hakuna kiumbe hai kinachoweza kustahimili labda uweke maiti

Vyombo hivyo husafiri na roboti

Chombo hiki hakitumii fuel kinatumia umeme wa soral system kinategemea jua
 
Shukran kwa darasa ila mkuu huo uzito wa jupiter waliupimaj, na hiyo JUNO ilikua pekeyake au ndani mlikua na watu? Miaka 7 kinasafirije bila kuishiwa fuel? Naomba elimu zaidi mkuu
Juno imefungwa solar ...solar zpo tatu .........ko juno ilikuwa ikitembea uku ikipata nishati ya jua na ilikuwa ikiongozwa na wafanyakazi wa NASA toka duniani( malekani) ndani ya miaka saba ....na mwisho wa Juno kufanya kazi yake ktk sayari ya Jupiter ni mwaka 2018...juno utajitupa ktk gesi nzito ya Jupiter maana akita weza kuludi tena duniani
 
Kwa hiyo ivo vitu vinavoenda anga za mbali huwa havirudi
Ni kwa vyombo ambavyo vinaenda ktk sayari huwa havirudi kwa sababu umbali vilivyo tumia kwenda mfano chombo labda kimetumia miaka 10 kwenda nakulud kitatumia mda gani?..... 2.. Je hicho chombo kikiludi kitakuwa na kazi gani apa duniani ?...... 3..kikimaliza mission yake ndo unakuwa mwisho wa hicho chombo ko huwa wana vialibu huko huko may be kwa kuvitupia ktk hizo sayari hasa za gases mfn surtun ,Jupiter.. that's why huwa hizi mission huandaliwa bajeti kabsa ....hizo ni baadhi ya sababu zingine wataongezea....note: ni kwa vyombo vinavyo enda ktk sayari zingine ndo huwa haviludi......
 
inaonekanaje kutoka duniani mkuu,ni mda gani sahihi wakuiona?
ikifika mwezi wa tano mwanzoni sayari kama mars, venus zitaanza kuonekana pia sayari ya Jupiter itaanza kuonekana mwezi huo huo wa tano ...lakini hadi kufika mwaka huu mwisho ni sayari mbili zitakazo kuwa zikionekana sambamba ambazo ni mars na Venus...zitakuwa zikionekana kuanzia jioni baada ya jua kuzama .......ko utakuwa ni mda mzuri wa kujifunza mwendo wa sayari .,..lakini kwa sasa bado hizo sayari hazija anza kuonekana
 
Back
Top Bottom