X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,647
- 12,215
- Thread starter
- #21
asante karibu sanaMungu akubariki!
asante karibu sanaMungu akubariki!
karibu sanagood
usijari mkuu karibu sanaNitakutafuta kaka kwa ushauri zaid kwa sasa bado najipanga kidogo!
Ndio INA hitaji ila kwa umakini mkubwa kwani kuna baadhi ya dawa NI Kali zinaweza kukausha hayo mauaNyanya ikianza kuweka maua inahitaji dawa?
inategemea na aina ya dawa, uwezekano wa dawa kuishiwa nguvu baada ya kunyeshewa na mvua ni mkubwa.....zipo dawa zinazodumu siku 3, 2, 5, 7 wiki mbili hadi mwezi...swali tafadhali:hivi madawa ya kupulizia minyanya huweza kudumu kwenye majani ikizuia wadudu kwa muda gani?na je,mvua ikinyeshea inabidi upulizie tena?
inategemea na aina ya dawa, uwezekano wa dawa kuishiwa nguvu baada ya kunyeshewa na mvua ni mkubwa.....zipo dawa zinazodumu siku 3, 2, 5, 7 wiki mbili hadi mwezi...
Fanya hivi mkuu,tafuta spraying program toka kampuni lolote la dawa,hili litakusaidia achana na upulizwaji wa kiholela,mfano Mimi ninayo ya bayer crop science wale wazee wa belt kama unawajuanafikiria kuanzisha kilimo hicho katika eneo ambalo ni mbali na ninapo fanyia kazi zangu na kwenda shamba mara kwa mara sitoweza kumudu gharama za nauli ila kwa kila wiki end naweza ... nasikia kipindi cha mvua nyanya huwa na ugonjwa wa ukungu sasa niliona kama kunachangamoto ya kulazimika kwenda shamba mara nyingi
Ilikuwaje mkuuNimepata hasara sana safari hii
In vizuri kumtafuta huyu mkuu,lakini pia tembelea sites za horticulture,utayajua mengi mkuuNitakutafuta kaka kwa ushauri zaid kwa sasa bado najipanga kidogo!
Mkuu inafuatana na mdudu anayekusimbua mfano tumiamuanzisha uzi huu nijuze dawa ya kupulizia ili matunda ya nyanya yasiharibiwe na wadudu.