Njoo ujaze fomu ya mkopo

  • Thread starter Mchokozi wa mambo
  • Start date

Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
71
Likes
13
Points
15
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined Mar 27, 2014
71 13 15
Wanajamii nachukua nafasi hii kukukaribisha AIRWING HIGH SCHOOL - DSM kwa gharama nafuu kabisa na ushauri mzuri bila papara na kukosea.... tunapatikana Airwing High School... ulizia JS STATIONERY wanakojaza fomu za mikopo na application mbalimbali za vyuo utaelekezwa
Au panda magari yoyote yaendayo Gongo la Mboto - Banana, shuka Banana na ulizia JS STATIONERY Airwing wanakojaza fomu za mikopo na kuapply vyuo
Mawasiliano:
abc.nect@yahoo.com
ukihitaji namba ya simu tuma kwenye hii E-mail namba yako tukupe namba yetu
 
O

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
1,022
Likes
704
Points
280
O

Ototo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
1,022 704 280
Mimi nitakuja kuprint tu maana nakaa maeneo hayo nitajaza kwenye simu tehetehe
 
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
71
Likes
13
Points
15
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined Mar 27, 2014
71 13 15
Ukiwa Dar es Salaam usiwe na shida wapi ukafanye application ya mkopo au chuo... Fika AIRWING HIGH SCHOOL uliza JS STATIONERY, tuna uzoefu za kufanya kazi tangu 2013 mpaka sasa,,,,,, hatujivuni au kuwahadaa watu bure, hii ni kweli kabisa kwa usahihi uliza mwanafunzi yyote ambaye alimaliza form 6 kuanzia 2013 atakupa habari zetu... fika kwani tumewasaidia wengi na kupata mkopo na nafasi za vyuo mbalimbali nchini Tanzania.. Kikubwa ukifika tunachukua taarifa zako zote zinazotakiwa katika application za kukujazia wenyewe kwa kuzingatia kuwa kila kitu hata kama unajua utababaika na kukosea,,,,, vilevile si wote wanaojua kutumia komputer.

tumia E-mail hii kutupata kwa mawasiliano zaidi jinsi ya kufika mahali tulipo.
abc.nect@yahoo.com
pia soma link hii kupata utaratibu wa kuomba mkopo mwaka huu 2016/17HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017
 
G

gudyme

Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
29
Likes
14
Points
5
G

gudyme

Member
Joined Oct 22, 2015
29 14 5

Plz naomba link yaku apply...and am not in dar so ineed help a bit
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,501
Likes
1,393
Points
280
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,501 1,393 280
Rekebisha Tittle ya thread yako. "TUZAJA" maana yake nini?
 
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Messages
6,947
Likes
811
Points
280
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2011
6,947 811 280
Gharama zenu ni kiasi gani? Na je, mnalipwa baada ya muombaji kufanikiwa kupata mkopo au malipo ni kabla ya kuandaa maombi?
 
Yugu

Yugu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
1,084
Likes
219
Points
160
Yugu

Yugu

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
1,084 219 160
ngoja niwambie TRA waje wakuongezee kodi
 
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
71
Likes
13
Points
15
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined Mar 27, 2014
71 13 15
Gharama zenu ni kiasi gani? Na je, mnalipwa baada ya muombaji kufanikiwa kupata mkopo au malipo ni kabla ya kuandaa maombi?
gharama ni ndogo tu, kujaza fomu, kuprint na kuscan picha ukipata fomu yako ndo unailipia
 
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
71
Likes
13
Points
15
Mchokozi wa mambo

Mchokozi wa mambo

Member
Joined Mar 27, 2014
71 13 15
um
ngoja niwambie TRA waje wakuongezee kodi
unaonekana wewe ni mwoga sana,,, kulipa kodi ni jukumu la kila mtanzania mzalendo... kama hulipi wewe ndo unaweza kutishiwa hivyo
 
optico

optico

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
259
Likes
230
Points
60
Age
28
optico

optico

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
259 230 60
Sasa mnasaidiaje mtu kupata mkopo? kwani nyie ndio loan board.?
 
Forum statistics

Threads 1,235,862
Members 474,779
Posts 29,238,904