Njoo uingalie kama imekaa vizuri!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,108
9,248
Kuishi kwingi kuona mengi!
Jana mama watoto aliniacha kwa dk 30 dukani kwake baadaya kujisikia vibaya!
Wakati namsubiri dada aje aendelee na kazi pale dukani!
Aliingia dada wa makamo kama miaka 40 au mid 30s' Akanunua gauni afu akaniuliza kama kuna chupi nikwamwonosha akachukua size yake !Akaniuliza kuna sidiria nikamuonesha akaomba akajaribu ,nikamwonesha chumba ....akiwa huko nikasikia akiniita eti nikaangalie kama imekaa vizuri au la!
Jamani kazi gani hii! Nilipigwa na butwaa !Lakini nikaone pengine ni mliberali mambo leo hajali nikaingia ,nikwamwambia vizuri !Akageuka nyuma kunionyesha mgogo eti niivute !nikauvuta akasema ahsante .
Akavaa blauzi yake akalipa na kuondoka !
Mh biashara ngumu sana!
 
Weka picha bhana...
Z
 
Dogo hebu weka picha...halafu kesho mama akikuacha kwenye kazi za wakubwa mwambie unaona aibu eeh...sawa?
 
Ulifikiri anakutaka? Au ulifikiri atakuomba diskaunti na namba ya simu? Sipati picha alivyolipa na kuondoka bila kukwambia lolote zaidi...pole
 
Wewe uliyeleta hii mada sidhani kama umeoa, namna unavyoandika ni kama teenager fulani tu hivi

Mkuu 14 years na kuendelea anaruhusiwa kuoa au kuolewa.
Btw an 18 year old teenager ni mtu mzima ambaye hajafika 20s.
kwani umeambiwa hili ni jukwaa la watu wazima?.
 
mbona ni kawaida sana, ukinunua nguo yyte shuti ujaribu na anaokuuzia atakiwa akuangalie ilivyokukaa cjaona tatizo la huyo mwana mama labda tatizo lipo kwako
 
Yani wew hauna adabu, duka la bosi wako unasema la mkeo ngoja aje aone mwenyewe uzi wako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom