Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu ya kibinadamu isipokua kwa utaalamu flani wa mambo ya kiroho.

Viumbe hivyo vikiwemo , Malaika, Majini , Wachawi pamoja na viumbe vingine vya kutisha sana, ikiwemo wanyama wa ajabu wenye ukubwa wenye kutetemesha na kuogofya kwa wanadamu wa kawaida.

Danieli 7:4 “Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu.”

Danieli 8:3 “Ndipo nikainua macho yangu nikaona, na tazama, mbele ya mto alisimama kondoo mume, mwenye pembe mbili; na pembe zile mbili zilikuwa ndefu; lakini moja ilikuwa ndefu kuliko ya pili, na ile iliyokuwa ndefu zaidi ilizuka mwisho.”

Danieli 8:5 “Nami nilipokuwa nikifikiri, tazama, beberu akatoka upande wa magharibi, juu ya uso wa dunia nzima, bila kuigusa nchi; na beberu yule alikuwa na pembe mashuhuri kati ya macho yake.”

Danieli 7:6 “Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.”

Wengi tukisoma Habari kama hizi za kuona simba mwenye vichwa vinne na miguu kama ya binadamu, beberu mwenye pembe kumi, nyoka mwenye vichwa saba na wanyama wengine wa kutisha, tunajipa moyo na kusema hiyo ni lugha tu ya biblia/ lugha ya picha hakuna viumbe kama hivyo. Ila ukweli ni kuwa viumbe hivyo vipo na vinaishi kwenye ulimwengu mwingine tofauti na huu wetu unaonekana. Na kuna binadamu wenzetu wameshashuhudia kabisa kwa macho yao.

Tuachane na hayo na turudi kwenye maada yetu ya leo . Tuzungumzie kuhusu mikasa ya kutisha ambayo tumewahi kukutana nayo kwenye ulimwengu huu ambayo kwa namna moja au nyingine vimekuacha midomo wazi na kukufanya uwe traumatized.

Ngoja nianze na mikasa / mambo ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani ambayo mpaka sasa hivi bado najiuliza kama ni viini macho au ni kweli , lakini ukweli unabaki kuwa ni kweli .

1. Jini kuchomoza baharini na kuelea hewani.

Nakumbuka ilikua ni usiku wa manane, nikiwa kwenye harakati za ushikirikina Uko sehem( sipendi kutaja jina). Nikiwa na mganga akiendelea kufanya mambo ya kishirikina baharini, Ambapo alisema anaita kiumbe( jini) hili anitimizie haja zangu . Kwa akili yangu nilijua tu ni danganya toto, hakuna lolote. Baada ya kama dakika 45 za yule mganga kufanya ushirikina wake. Ghafla akatokea mwanamke mrefu tofauti na urefu wetu wa kawaida wa binadamu alikua baharini anaelea tu, miguu haionekani kwa kweli nilikimbia, Bahati nzuri wale wasaidizi wa mganga wakanikamata kunizuia nisikimbie. Uzuri hakua anatisha wala nini, alikua tu ni mwanamke wa kawaida ingawa alikua na urefu usio na kawaida, na alikua kakasirika sana, alikua analalamika tunamuita sana tuna shida gani.....

2. Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu , binadamu akiwa nusu mtu , nusu simba, Ana sura ya kutisha sana , mbaya mfano hakuna, ilibaki kidogo tu nizimie.

3. Binadamu mfupi kama stuli, Ana ndevu nyingi mpaka chini na alikua na mguu mmoja tu , na macho yake yanawaka moto.

4. Mzimu wa mtu maarufu ambaye alikufa miaka mingi iliyopita.

Hii ndo mikasa ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani, ambayo kiukweli mpaka leo inanipa shida sana, na ilichukua miaka kadhaa mpaka kuweza kukubali hii hali mpaka kufikia kuzoea kidogo. Ila hapa duniani kuna viumbe vya ajabu mno, na kama ukitaka kuviona unaweza.

View attachment 1430585

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nataka nivione mkuu!
 
Picha ya huyo jini mrefu mwanamke wa baharini iko wapi sasa na utuwekee picha yako ulipokamatwa na wasaidizi wa sangoma wako pale ulipokuwa unataka kukimbia kumuhofia yule jini. Tunataka kuthibitisha ukweli wake.
 
Imenikumbusha miaka ya 2000 nikiwa secondary Shule moja mugumu serengeti nilikuwa naenda kusoma masomo ya ziada kwa nyakati za jioni saa 12:00 jioni narud saa nne hadi saa sita usiku, eneo nilikuwa naenda kusoma ni ndani ya uzio wa kanisa fulani. Mara zote nilikuwa nikitoka nafatwa na ndugu zangu wakubwa waliopo nyumbani au nasindikizwa na mwalimu wangu alikuwa ni mwinjilisiti wa dini fulani hapo kanisani maana kuna umbali kidogo kufika nyumbani . Kilichotokeo siku hiyo nilimwambia huyo mwinjilisiti aniache niende home mwenyewe maana ndugu zangu walikawia.

Mwinjilisiti aligoma akasema twende wote nikamwambia nimezoea arudi nitafika alikataa tukafika sehemu nikamwambia arudi nitafika home arudi aligoma, Tulifika njia panda ya kuelekea nyumbani nilichokikuta nilihisi ndio mwisho wangu ila yule mwinjilisiti alinikamata mkono mkono na kunipa ishara ya kuzunguka kile kiumbe nikapita kulia yeye kushoto yeye akiendelea kuongea ila mm akili ilishahama aisee tumefika mbele aliambia je ningekuacha wazazi wako wasigenielewa kama ungekutwa na madhara. Nafika nyumbani nakuta ndugu zangu wanasimulia wameshindwa kunifata wamekuta kiumbe mrefu kwenye eneo ninalopitaga kwenye miti ya migiriveria ikabidi warudi nyumbani. Kesho yule mwinjilisiti alikuja kumwambia mzee nibadili muda wa kwenda masomo ya ziada. Ila kwangu ilikuwa mwisho wa hayo masomo.

Mkasa wa pili nikiwa secondary shule moja nilikuwa mtu wa Sara sana na nikihubiri siku moja niliamka kwenda kusoma na rafiki yangu alikuwa anaitwa Emmanuel nilifika darasani nimetangulia nikawasha socket nilichokiona kwenye darasa nilishituka nikazima taa nikakemea kimoyomoyo nikatoka nje, sikumwambia rafiki yangu kwanini nimetoka nje zaidi nilimwambia ngoja niende bweni fulani nikamwamshe kupanga mmoja aje anipige pindi kumbe niliamua kwenda bwenini nikitafakari nilichokiona sijafika mbali nikasikia kishindo nikajua tayari kumbe ni Emma rafiki yangu alianguka baada ya kushuhudia na alikuja kubebwa na mlinz hadi alipozinduka.

E bhana mm nimeenda kulala bwenini usingiz ukagoma kabsa wanafunzi wote wakiwa wamelala NILISHUHUDIA WAZEE WAKIWA WAMEKAA KWA KUZUNGUKA KATIKATI YA BWENI nikaanza kukemea sina budi kusema jamaa walikuwa na nguvu ya ziada alinifata mzee mmoja na kunishika paji la uso napiga kelele hakuna aliesikia namshika bedmate wangu hageuki baada ya pale niliamshwa kesho saa nne na nilikuwa nikimuulizia imma yupo wapo imma alipona yupo vzur
Ila mashuleni kuna vitu vingi sana tuombee watoto wetu
 
Aisee Pole sana
Imenikumbusha miaka ya 2000 nikiwa secondary Shule moja mugumu serengeti nilikuwa naenda kusoma masomo ya ziada kwa nyakati za jioni saa 12:00 jioni narud saa nne hadi saa sita usiku, eneo nilikuwa naenda kusoma ni ndani ya uzio wa kanisa fulani. Mara zote nilikuwa nikitoka nafatwa na ndugu zangu wakubwa waliopo nyumbani au nasindikizwa na mwalimu wangu alikuwa ni mwinjilisiti wa dini fulani hapo kanisani maana kuna umbali kidogo kufika nyumbani . Kilichotokeo siku hiyo nilimwambia huyo mwinjilisiti aniache niende home mwenyewe maana ndugu zangu walikawia. Mwinjilisiti aligoma akasema twende wote nikamwambia nimezoea arudi nitafika alikataa tukafika sehemu nikamwambia arudi nitafika home arudi aligoma, Tulifika njia panda ya kuelekea nyumbani nilichokikuta nilihisi ndio mwisho wangu ila yule mwinjilisiti alinikamata mkono mkono na kunipa ishara ya kuzunguka kile kiumbe nikapita kulia yeye kushoto yeye akiendelea kuongea ila mm akili ilishahama aisee tumefika mbele aliambia je ningekuacha wazazi wako wasigenielewa kama ungekutwa na madhara. Nafika nyumbani nakuta ndugu zangu wanasimulia wameshindwa kunifata wamekuta kiumbe mrefu kwenye eneo ninalopitaga kwenye miti ya migiriveria ikabidi warudi nyumbani. Kesho yule mwinjilisiti alikuja kumwambia mzee nibadili muda wa kwenda masomo ya ziada. Ila kwangu ilikuwa mwisho wa hayo masomo.

Mkasa wa pili nikiwa secondary shule moja nilikuwa mtu wa Sara sana na nikihubiri siku moja niliamka kwenda kusoma na rafiki yangu alikuwa anaitwa Emmanuel nilifika darasani nimetangulia nikawasha socket nilichokiona kwenye darasa nilishituka nikazima taa nikakemea kimoyomoyo nikatoka nje, sikumwambia rafiki yangu kwanini nimetoka nje zaidi nilimwambia ngoja niende bweni fulani nikamwamshe kupanga mmoja aje anipige pindi kumbe niliamua kwenda bwenini nikitafakari nilichokiona sijafika mbali nikasikia kishindo nikajua tayari kumbe ni Emma rafiki yangu alianguka baada ya kushuhudia na alikuja kubebwa na mlinz hadi alipozinduka. E bhana mm nimeenda kulala bwenini usingiz ukagoma kabsa wanafunzi wote wakiwa wamelala NILISHUHUDIA WAZEE WAKIWA WAMEKAA KWA KUZUNGUKA KATIKATI YA BWENI nikaanza kukemea sina budi kusema jamaa walikuwa na nguvu ya ziada alinifata mzee mmoja na kunishika paji la uso napiga kelele hakuna aliesikia namshika bedmate wangu hageuki baada ya pale niliamshwa kesho saa nne na nilikuwa nikimuulizia imma yupo wapo imma alipona yupo vzur

I.Huyo mwinjilisti alikushika mkono ndio mkakizunguka kiumbe? Mlikizungukaje kwa kushikana kama ni kirefu

Au alikushika usikimbie akakuachia mkakizunguka? Na hukukimbia tena? Sio rahisi

II. Hao wazee uliowaona bwenini ndio mwendelezo wa ulichokiona darasani?
 
Kuna SGT mmoja alitemeshwa mwenge nikiwa pale ndio mgeni. Huyu mtata akikuwa anageuka fisi na kusomba mifugo ya wenzake, kuku, bata, mbuzi, kondoo abapita nao. Ila huyu alitemeshwa mwenge ingawa ni kwa ishu nyingine ya kipuuzi sana.

Kuna mwengine naye ni SGT huyu alikuwa anawaingili watu kimiujuza na wengine mpaka kuwa na uwehu hususani waliokinzana naye saba. Huyu ni noma ila naye ameshavua buti mwaka juzi hapo kwa taarifa niliyopewa. Hii hali nimepata kusimuliwa na kuikuta camp mbili tofauti.

WO's wengi niliokutana nao walikuwa na vimbwanga ila vya kawaida, wengi kwa ajili ya ulinzi wao. Ila hawa ma SGT's acha kabisa.
Umenena sahihi kabisa mike, WO's wengi wanafanya hayo mambo kwaajili ya ulinzi wavue buti salama wakapumzike. Shuguri ipo kwa hawa SNO's (Ensiors)
 
Kuna SGT mmoja alitemeshwa mwenge nikiwa pale ndio mgeni. Huyu mtata akikuwa anageuka fisi na kusomba mifugo ya wenzake, kuku, bata, mbuzi, kondoo abapita nao. Ila huyu alitemeshwa mwenge ingawa ni kwa ishu nyingine ya kipuuzi sana.

Kuna mwengine naye ni SGT huyu alikuwa anawaingili watu kimiujuza na wengine mpaka kuwa na uwehu hususani waliokinzana naye saba. Huyu ni noma ila naye ameshavua buti mwaka juzi hapo kwa taarifa niliyopewa. Hii hali nimepata kusimuliwa na kuikuta camp mbili tofauti.

WO's wengi niliokutana nao walikuwa na vimbwanga ila vya kawaida, wengi kwa ajili ya ulinzi wao. Ila hawa ma SGT's acha kabisa.
Nakubaliana nawe mike kwa WO's wengi ni kwaajili wavue buti salama kabisa bila maslahi yao kuguswa. Ila kimbinde kiko kwa hawa SGT's (ensiors)

Kuna mmoja tulikuwa nae pale 835 alikuwa anawaingilia sana na MTM's mpaka wakamriport kwa Charlie Oscar lakini hawakupata msaada wowote maana nae alikuwa anamhofia Sana na deals zao walikuwa wanakula pamoja. Alikuwa anaogopeka mpaka alipovua buti ndio mamtm wakapumzika nakushangilia....
 
Imenikumbusha miaka ya 2000 nikiwa secondary Shule moja mugumu serengeti nilikuwa naenda kusoma masomo ya ziada kwa nyakati za jioni saa 12:00 jioni narud saa nne hadi saa sita usiku, eneo nilikuwa naenda kusoma ni ndani ya uzio wa kanisa fulani. Mara zote nilikuwa nikitoka nafatwa na ndugu zangu wakubwa waliopo nyumbani au nasindikizwa na mwalimu wangu alikuwa ni mwinjilisiti wa dini fulani hapo kanisani maana kuna umbali kidogo kufika nyumbani . Kilichotokeo siku hiyo nilimwambia huyo mwinjilisiti aniache niende home mwenyewe maana ndugu zangu walikawia. Mwinjilisiti aligoma akasema twende wote nikamwambia nimezoea arudi nitafika alikataa tukafika sehemu nikamwambia arudi nitafika home arudi aligoma, Tulifika njia panda ya kuelekea nyumbani nilichokikuta nilihisi ndio mwisho wangu ila yule mwinjilisiti alinikamata mkono mkono na kunipa ishara ya kuzunguka kile kiumbe nikapita kulia yeye kushoto yeye akiendelea kuongea ila mm akili ilishahama aisee tumefika mbele aliambia je ningekuacha wazazi wako wasigenielewa kama ungekutwa na madhara. Nafika nyumbani nakuta ndugu zangu wanasimulia wameshindwa kunifata wamekuta kiumbe mrefu kwenye eneo ninalopitaga kwenye miti ya migiriveria ikabidi warudi nyumbani. Kesho yule mwinjilisiti alikuja kumwambia mzee nibadili muda wa kwenda masomo ya ziada. Ila kwangu ilikuwa mwisho wa hayo masomo.

Mkasa wa pili nikiwa secondary shule moja nilikuwa mtu wa Sara sana na nikihubiri siku moja niliamka kwenda kusoma na rafiki yangu alikuwa anaitwa Emmanuel nilifika darasani nimetangulia nikawasha socket nilichokiona kwenye darasa nilishituka nikazima taa nikakemea kimoyomoyo nikatoka nje, sikumwambia rafiki yangu kwanini nimetoka nje zaidi nilimwambia ngoja niende bweni fulani nikamwamshe kupanga mmoja aje anipige pindi kumbe niliamua kwenda bwenini nikitafakari nilichokiona sijafika mbali nikasikia kishindo nikajua tayari kumbe ni Emma rafiki yangu alianguka baada ya kushuhudia na alikuja kubebwa na mlinz hadi alipozinduka. E bhana mm nimeenda kulala bwenini usingiz ukagoma kabsa wanafunzi wote wakiwa wamelala NILISHUHUDIA WAZEE WAKIWA WAMEKAA KWA KUZUNGUKA KATIKATI YA BWENI nikaanza kukemea sina budi kusema jamaa walikuwa na nguvu ya ziada alinifata mzee mmoja na kunishika paji la uso napiga kelele hakuna aliesikia namshika bedmate wangu hageuki baada ya pale niliamshwa kesho saa nne na nilikuwa nikimuulizia imma yupo wapo imma alipona yupo vzur
Ila mashuleni kuna vitu vingi sana tuombee watoto wetu
mbn hujasema hicho kitu ulichokiona darasani? na kwann umwache ima aende wkt umeona kitu kisicho cha kawaida

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana nawe mike kwa WO's wengi ni kwaajili wavue buti salama kabisa bila maslahi yao kuguswa. Ila kimbinde kiko kwa hawa SGT's (ensiors)
Kuna mmoja tulikuwa nae pale 835 alikuwa anawaingilia sana na MTM's mpaka wakamriport kwa Charlie Oscar lakini hawakupata msaada wowote maana nae alikuwa anamhofia Sana na deals zao walikuwa wanakula pamoja. Alikuwa anaogopeka mpaka alipovua buti ndio mamtm wakapumzika nakushangilia....
kuvua buti ndo nn afande

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Fugeni paka, mbwa hapambani na mauzauza anapambana na wizi tu, kikubwa anabweka tu na kusepa. Ila paka bob, haondoki mpaka kieleweke, ama afe yeye au afe mchawi/shetani. Paka ni mlinzi mzuri kwenye haya maswala, hatuwaelewi tu mana wanajiskia sana wanyama hawa.

Watalaamu wanakwambia ukiona paka amekujua mguuni na kukuzonga sana haondoki ujue anakulinda na ubaya wa mauzauza, ila sisi tunaona anatusumbua tunampiga teke :D
umewahi kuona paka akipambana na mauzauza?
 
Kuamka unakuta wadogo zangu wamenyolewa nywele na wembe size ya sumuni au shilingi ilikua kawaida sana pale mtaani kwetu sijui walikua wanazifanyia nn wanga 😀😀😀 alafu tulikua hatuna habari tunaona poa tuu kama kitu cha kawaida
 
I.Huyo mwinjilisti alikushika mkono ndio mkakizunguka kiumbe? Mlikizungukaje kwa kushikana kama ni kirefu

Au alikushika usikimbie akakuachia mkakizunguka? Na hukukimbia tena? Sio rahisi

II. Hao wazee uliowaona bwenini ndio mwendelezo wa ulichokiona darasani?
Tulivyokiona alinishika mkono kwa maana nasiweweseke na kukimbia kutokana na mshtuko na kunipa ishara tukakizunguka kile kiumbe
 
Back
Top Bottom