IMG_6128.JPG
 
Alinikera kwa sababu moja! Nilimkana mara 4 mfululizo na kumwambia sitaki shari na hapa JF kuna watu na nawaheshimu; na mara zote hizo alikuwa ananitukana! Kuepusha shari nikalazimika ku-log out!! Nilipo - login akaendelea na ile kusema kuna watu hapa nawaheshimu kwahiyo sipendi matusi; hiyo kwake akaona am a coward girl wakati post zangu zote zinaonesha am a man!:Nikafikia tamati ya ku-act ustaarabu mbele ya mtu asiye na chembe ya ustaarabu huku akidhani mdomo wake mrefu kila mtu anauogopa!
Mzee baba huku wananzengo ukijifanya unajaa upepo wao ndio watakujaza zaidi..
Kwahyo Mzee baba ww kuwa mpole!

Numbisa baby ongeza glass hapa Nina k- vant na captain Morgan nataka ninywe zote!!!
Teh teh! Teh!
 
Back
Top Bottom