Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,522
Huyu naye. Mbona kapewa compliment nzuri tu (na sala juu) lakini bado anang'aka?
Huyu naye. Mbona kapewa compliment nzuri tu (na sala juu) lakini bado anang'aka?
dereva wa boda boda kapewa gari
Huyo dem si angeomba tu vocha sasa katoa maelezo kibao extended
Ni kweli aisee sijui kwa nini alikuwa hasemi tu moja kwa mojaHuyo dem si angeomba tu vocha sasa katoa maelezo kibao extended