Njoo tucheke pamoja


Mgirik

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
11,447
Likes
4,478
Points
280
Mgirik

Mgirik

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2013
11,447 4,478 280
Ukikutana na Wahuni wa porini (mbwa mwitu) kama hivi utaimba kwaya gani? View attachment 1021235
Duh! Hapo ni fasta unaachia baiskeli unapanda mtini. ...
Maana hao wahuni wajinga sana wanaanza kukutafuna ukiwa hai kabla hata ya kukuua
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
122,033
Likes
529,699
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
122,033 529,699 280
FAHAMU: Hii nyumba ipo wilayani Mkinga(Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Chumba kimoja kipo Kenya na chumba kingine kipo Tanzania (aliposimama NW Dkt. Damas Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya na askari wa Tanzania hawamfanyi kitu.
50759431_1120568488115705_1798284203002039341_n-jpg.1022141
 

Forum statistics

Threads 1,272,688
Members 490,115
Posts 30,457,553