Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

yani hyo page ya mwisho ungeiweka tu mwanzo ndugu yangu kwa ote wanaotaka kuchukua mizigo kutoka china tumieni hawa jamaa wanajiita AGIZA wako pale ilala bungoni,na page zao za insta wanajiita hivyo hvyo AGIZA

ukifika ofisini kwao wanakufungulia account na wana kusaidia kuchagua vitu na kila kitu wanaku asist ikifika muda wa malipo wanatumia account yao kulipia mzigo ukipotea wanakurudishia hela yako ni wew tu kuchagua upate mzigo wako kwa meli au ndege

Nawafahamu vizur ila ww hujafikiria kabisa wambie wana JF na gharama zao ,mzigo gan utaagiza kwa 100,000 pale kijana wa hovyo sana ww
 
hayo matangazo ya instagram ili kuweza kuwafikia wateja ndiyo inakuaje mara baada ya kupata mzigo wako?
 
Imekuaje? Umeshindwa kueka hapo tupate faida wote mpaka ufatwe DM.. acha janja janja MKUU weka hapo faida hapo tufaidike.. kwanza hauna miaka 22 .. vijana mtachelewa kufanikiwa kwa janja janja zenu
 
yani hyo page ya mwisho ungeiweka tu mwanzo ndugu yangu kwa ote wanaotaka kuchukua mizigo kutoka china tumieni hawa jamaa wanajiita AGIZA wako pale ilala bungoni,na page zao za insta wanajiita hivyo hvyo AGIZA

ukifika ofisini kwao wanakufungulia account na wana kusaidia kuchagua vitu na kila kitu wanaku asist ikifika muda wa malipo wanatumia account yao kulipia mzigo ukipotea wanakurudishia hela yako ni wew tu kuchagua upate mzigo wako kwa meli au ndege
Umelipia tangazo?
 
Mambo vipi wana JF hope wote mko poa, ebwanaa najua katika maisha ukipata kuelewa kitu na unapo fundisha wenzako ndio unazidi kupata uelewa mkubwa zaidi na zaidi.

Sasa mimi ni kijana nina miaka 22, niko chuo but in reality akili yangu imekaa kibiashara sana ,nauza vitu online ambavyo naagiza nje ya nchi na napata faida nzuri tu lakin kwa mtaji niloanza nao ni mdgo sana ,naweza kutumia laki 3 kuagiza mizigo ambayo ikifika nikiuza napata faida tu 700,000 kuendelea.

mwanzoni nilikua nasoma kwa kuangalia video za youtube maana nilitokea kuchunguza Alibaba since 2015
siku ya kwanza kuagiza mzigo wangu ulikua ni Airpods yani wireless earphones za masikioni maana najua vijana wengi wanapenda vitu kama hivyo

then badae naweka tangazo la promotion instagram na kuuza zote kwa mda mfupi sana ,faida yangu inakua kubwa pale pale .wengi wanaambiwa eti kuagiza china mizigo inachelewa HApana kuna kampuni zinatumia week 3 mzigo unakua ushafika chap sanaa yan

Njoo whatsapp au Dm nikupe maelekezo ya kuagiza mizigo china na kuanza kuuza kupitia tangazo instagram ambapo ndo watu wengi hutumia mda mwingi sana
Yote haya tunaweza kutana kama upo Dar nika kwelekeza vizuri mwanzo mwisho na kukusaidia kila kitu hadi mzgo wako kufika Bongo
MALIPO YANGU NI TSH 20,000 TU

Note Mimi sio tapeli
page yangu ya instagram inaitwa @buymark
whatsapp/calls number 0746751987
kwa hiyo unapata faida laki 7 kwa kuweka laki 3 within 3 weeks...why usiweke laki 7 + laki 3 iwe milioni ...upige faida milioni 3 within 3 weeks again ... elfu 20 zetu unataka uzipige........:D:D:D:D:D...bro unatuona vilaza sana
 
Kwenye kujibiwa hoja yako Kuna watakaozingua na watakao sema fact. Nakushauri udadavue vizuri ili kutoleta sintofahamu. Endelea kupambana
 
Mambo vipi wana JF hope wote mko poa, ebwanaa najua katika maisha ukipata kuelewa kitu na unapo fundisha wenzako ndio unazidi kupata uelewa mkubwa zaidi na zaidi.

Sasa mimi ni kijana nina miaka 22, niko chuo but in reality akili yangu imekaa kibiashara sana ,nauza vitu online ambavyo naagiza nje ya nchi na napata faida nzuri tu lakin kwa mtaji niloanza nao ni mdgo sana ,naweza kutumia laki 3 kuagiza mizigo ambayo ikifika nikiuza napata faida tu 700,000 kuendelea.

mwanzoni nilikua nasoma kwa kuangalia video za youtube maana nilitokea kuchunguza Alibaba since 2015
siku ya kwanza kuagiza mzigo wangu ulikua ni Airpods yani wireless earphones za masikioni maana najua vijana wengi wanapenda vitu kama hivyo

then badae naweka tangazo la promotion instagram na kuuza zote kwa mda mfupi sana ,faida yangu inakua kubwa pale pale .wengi wanaambiwa eti kuagiza china mizigo inachelewa HApana kuna kampuni zinatumia week 3 mzigo unakua ushafika chap sanaa yan

Njoo whatsapp au Dm nikupe maelekezo ya kuagiza mizigo china na kuanza kuuza kupitia tangazo instagram ambapo ndo watu wengi hutumia mda mwingi sana
Yote haya tunaweza kutana kama upo Dar nika kwelekeza vizuri mwanzo mwisho na kukusaidia kila kitu hadi mzgo wako kufika Bongo
MALIPO YANGU NI TSH 20,000 TU

Note Mimi sio tapeli
page yangu ya instagram inaitwa @buymark
whatsapp/calls number 0746751987
Yani kumuelekeza mtu mpaka akupe elfu20?
 
Mkuu Wala usiwe na wasiwasi watanzania wengi n vichwa maji utawapata TU maboya

Na wakija kulia Lia humu baada ya kulamba 20k zao wewe usiogope sababu n uboya wao wenyewe kwani wewe Wala hujawalazmisha wamekupa wenyewe

Wapige sana had akil ziwakae sawa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana...

Ila angalia sana hao jamaa wa TRA unaweza ukanunua mzigo wako huko Alibaba kwa vijisenti ukifika hapa wana-uplift bei kwamba cost yake including freight sio halisi uliyoweka wewe unapigwa Kodi ya gharama kuliko bei uliyopanga kuuzia....

Hio ni changamoto kubwa sana (na ukizingatia products zilizopo kitaa) unaweza kushindwa kuuza unless otherwise una watu wako prime amboa unawauzia kwa bei za uhakika....
 
Mkuu kama mzigo wa laki 3 unakupa laki 7 ..kwa nini usiagize wa laki 7 ukapata 1.5 million, then 1.5 milion ukapata 3.1 million. Ukaachana na kuuzia watu training kwa 20k

Nilitaka kuuliza kampuni gani zinatumia wiki 3 kutoa mzigo china to bongo.
 
Back
Top Bottom