Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Sikujua kuwa si jambo linalofahamika na wengi kuwa unaweza kuwa kiongozi mzuri katika mengi lakini ukawa na mapungufu katika mawasiliano
Musa alikuwa mzito wa kuongea , akapewa haruni Kama msemaji wake
Tatizo la viongozi wengi wa Sasa hawaambiliki - They know it All
Tusipokuwa na VIONGOZI wanaotuongoza kwa mifano mizuri ya UADILIFU wao, ELIMU yao, MAISHA yao nje ya kazi, UCHA Mungu wao, tunakwazika sana.
Baadhi ya mambo tunaihusisha katba, hasa yenye maslahi na chama tawala, but mengine utasikia mimi ndiye mwenye mamlaka
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kughushi na Utata. Utata ni kwamba kusoma umesoma wewe, lkn kughushi yani ni kughushi tu. RC, DC akighushi je? Tumwache kwakuwa anajua kusoma na kuandika?
Au sheria zipo kwa kada fulani...
Serikali iseme tu kwamba imeamua kupunguza watumishi wake ili iweze kumudu kujiendesha kutokana na ukata baada ya kunyimwa misaada. Dereva wa Serikali lazima awe Form IV, ila bosi wake (RC/DC) anahitaji zile "K" tatu tu! Yani Kidato anamuendesha K3!
@Viwonder!
@ViWonder KKK zimerudi nchi hii kwa mara nyingineKusoma, Kuandika & Kuhesabu (KKK ama K3) Dah bado tunasema hatutaki taifa la vilaza na tunawakumbatia
Jinai inayobagua wa kumtenda, katiba haijawahi kubagua mtumishi wala mwanasiasa! [HASHTAG]#hakiSawaKwaWote[/HASHTAG].
alipoteua wanajeshi kuwa wakuu wa mikoa, wilaya nk, tuliambiwa hao ni watumishi wa umma sio wanasiasa, Leo ni wanasiasa....alafu kuna mijitu hata ubongo wao hawaufikirishi wao kila lililo mbele sawa
kuna kiongozi alishindwa kuandika jina la FREEMAN tunaambiwa leo anajua kusoma na kuandika its shame.
Kweli nimejua asiyekujua hakuthamini ila anayekujua atakuthamini BASHITE kazaliwa na bahati sheria za NCHI zimebadilishwa ghafla Kisa yeye.
makatibu wakuu wa wizara ni wateule wa rais na still ni watumishi wa umma