Njoo Sumbawanga tukufunde Mangula

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
781
523
Karibu shujaa wetu, Mangula Nape, kinana,
Wapinzani huku kwetu, wameanza kutengana,
Noo mjenge chama chtu, rudisha walionuna,
Karibuni Sumbawanga, Mangula,Nape, Kinana.

Ziara yenu ya kwanza, iwe ya kheri twaomba,
Nishani tutawatunza, mafisadi kuwakomba
Kukimbia wameanza, walokuwa wanatamba,
Kribuni Sumbawanga Mangula Nape Kinana.
 
Nahau,ngongera na mithamiati haiwezi kuijenga upya CCM!Sisi tumeshajiapiza kula sahani moja na ninyi mbaka hapo kitakapoeleweka.Sasa mtakula kwa jasho,hakuna vya mtelemko!
 
Huna lolote Wimbo,wambieni TUME y uchaguzi watangaze jimbo la Sumbawanga lipo wazi ndo mtaelewa Mangula ni shujaa au kibwetele!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wimbo,tupe beti ya pili tukusikie.

Tukitoka Sumbawanga, twenda kuitwaa Mpanda,
Hata kama mkiwanga, hakuna wa kutupinda,
Tumekwisha kujipanga, Mwanza nako tunapanda,
Tumewachekea sana, Lakini sasa tumenuna.
 
Karibu shujaa wetu, Mangula Nape, kinana,
Wapinzani huku kwetu, wameanza kutengana,
Noo mjenge chama chtu, rudisha walionuna,
Karibuni Sumbawanga, Mangula,Nape, Kinana.

Ziara yenu ya kwanza, iwe ya kheri twaomba,
Nishani tutawatunza, mafisadi kuwakomba
Kukimbia wameanza, walokuwa wanatamba,
Kribuni Sumbawanga Mangula Nape Kinana.

alafu aaweee. we chipe-nna! unsina mano. kapoli wino. yalukuletela chani yankalako yao. ayifi yakulu yao. yasini-impya yakalulete yao. iyia implia zyosi. tuluchula fikwene, mweeeeeeee! yaluchilola panachafika. CDm ali mkombozi wa maka. tenu-monsi wa maka, CCM aku-mpe wio. i-ns=oofi ngutamanyire. ala!
 
Hahahah!haha haha! Haha! Umeamua kumjibu kwa kifipa kabisa..huyo bila shaka atakuwa anatokea Matai huko ambako m4c bado haijapita!
 
Hahahah!haha haha! Haha! Umeamua kumjibu kwa kifipa kabisa..huyo bila shaka atakuwa anatokea Matai huko ambako m4c bado haijapita!

Hivi wewe unafikiria kwamba tunakuja na yule aliyeishia form tu akafeli, aliyewaletea chunvi , vinanda makanisani na ufahamu wake mdogo akajitaja kuwa yeye ni Yesu, lakini akawapiga bao, alisahau kuongezea moja tu angesema kuwa ni yesu wa Majumba sita. Sasa hivi tuna Jembe litakalo wakonga mioyo wote, tunalingojea kwa hamu tangazo la tume ya uchaguzi.
 
Kuna kipindi nafikiri baadhi ya member huwa hawana cha kuandika.

Wimbo imetosha au bado upo studio kuingiza chorus???
 
Last edited by a moderator:
Njoni kwa wingi 22/11/12 wana M4C wote studium Nelson Mandela Bonge ya kiwanja chetu msikie sera zilizoenda shule, mtabaki na vijiba vyenu moyoni. CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mangula Hoyeeeeeeeeeee, Nape Hoyeeeee Kinana nginja nginja, Mzee Gharib Hoyeeeee. Tutenzi ta.
 
Ndugu this is very interesting, teremsha shairi lote, very refreshing, wala usijali hawo wasiokuwa na mada yoyote isipokuwa kutusi wenzao.
 
Kuna kipindi nafikiri baadhi ya member huwa hawana cha kuandika.

Wimbo imetosha au bado upo studio kuingiza chorus???

Inaelekea rula yako haisomi, unajua sababu za ziara hii ya viongozi hawa ya kwanza kabisa kuanzia Sumbawanga? au nikwambie !! karagabaho.
 
Njoni kwa wingi 22/11/12 wana M4C wote studium Nelson Mandela Bonge ya kiwanja chetu msikie sera zilizoenda shule, mtabaki na vijiba vyenu moyoni. CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mangula Hoyeeeeeeeeeee, Nape Hoyeeeee Kinana nginja nginja, Mzee Gharib Hoyeeeee. Tutenzi ta.
 
Tukitoka Sumbawanga, twenda kuitwaa Mpanda,
Hata kama mkiwanga, hakuna wa kutupinda,
Tumekwisha kujipanga, Mwanza nako tunapanda,
Tumewachekea sana, Lakini sasa tumenuna.

Hahahaaaaa
Nape bana.
 
banda walilopangisha, kesho ninawanyang'anya,
Office wamejiegesha, ruzuku wanatapanya,
Vitiwalivyokodisha, Ofisi kama ya panya,
Leo wanawahadaa, ati waenda ikulu?

Ninyi ni watu wazima, ukwelii kuubaini,
Kipi kilichosimama, miaka sasa ishirini,
Shingo zinawapalama, maendeleo tawini,
Tusikubali ujinga, CCM yawinna.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom