Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
209
123
Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure

1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri)
2) Chochote kuhusu Wordpress
3) Chochote na php au laravel
4) Python

Nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. Kwa bure kama unadhani ni siri njoo uni PM. Pako wazi kwa ajili yako wewe pale nItakapoweza nItakusaidia.
 
Nahitaji kufungua website kupitia wordpress. Naomba msaada wako.
 
Glas,

Karibu nikusaidie.

Swali la kwanza ningependa kukuuliza, je tayari una domain na server?
 
Francilex,

Sawa hiyo website nina maswali kadhaa:

1)Je ni aina gani?
2)Una hitaji server na domain lakini unakwama? Ili niweze kukushauri.

Kama unahisi hayo maelezo huezi toa hapa usiogope kujibia inbox. (Lakin kile kikuu nitachokushauri ukiachana na mambo binafsi nitakuja kupost huku)
 
g_code,
Sawa mkuu nimekuelewa nilichokuwa nimepanga kwamba nitamsaidia then nitaandaa muhtasari kwa ajili ya watu wote basi nitakachofanya nitaandaa muhtasari alafu akija ntamsaidia yeye kama yeye. Nitaweka hilo jibu punde kaaa chonjo!
 
Back
Top Bottom