Njoo nikufundishe njia za kumwacha kwa aibu msichana mpenda pesa

Aiseee
Wakinamama huzaa watoto wao na kuwakuza kwenye mazingira magumu na ya ajabu mno. Mtoto anazaliwa on street anakulia vichochoroni, anapigwa makonzi na matusi ya nguoni na mama yake. Au anazaliwa sokoni analelewa sokoni na wabeba mizigo mitusi na maneno yote ya kishenzi anakuzwa nayo akitambua anaachwa apuyange soko zima anafundishwa uchafu wote bila huruma. Au anazaliwa kwenye kichumba ambacho mama yake huleta majanaume wanakiweka pembeni huku wakifanya ufuska wao mbele ya katoto kale. Uhakika wa asilimia zote ni kuwa katakuwa uncivilised bitterly inside. Amini Mtoto huyu akikua ustaarabu wake na wapi umekuziwa utaonekana kwenye arguments zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom