Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

Chinese language has 21 initials and 36 finals please find the attached document. Hii document imeelezea
1.initials na finals
2. Chinese tones 4 na ya 5 ni newtral tone pamoja na mifano
3. Kuna maneno mapya utajifunza
4. Kuna Assignment utatakiwa kujipima kuona umeelewa kwa namna gani
NB: Kichina ndio kinavyofunzwa sio kama kingereza ni tofauti kabisa.

kuna applications za kuanzia kujifunza
1.Duolingo
2. Chinese Skills
3. Learn Chinese
4. HSK 1 online
5. Hello Chinese Kwa mwanafunzi kabisa ni vyema ukadownload application zote na kuanza kujifunzia ila anza na Duolingo app ni nzuri kwani ipo kwa mfumo wa gemu hivyo haichoshi. Msisitizo hizo apps zinatoa muongozo kwa kingereza hivyo pia unapaswa kuwa unakifahamu kingereza kwa ufasaha kwa maana unapoulizwa swali mfano. My name is jamii forum? unaweza kuwa umeelewa vizuri kwa kichina uliulizwa nini lakini kwa kuwa wakati wa kuunganisha sentensi ulikosea kuweka neno "is" ama I, am !!! iyo app itaonyesha umekosea na utashindwa kufika ama kwenda level nyingine kitu ambacho kitakukatisha tamma. Pia unatakuwa uweze kusikia kingereza vizuri na kutafsiri kwenda kichina na kichina kwenda Kiswahili.
 

Attachments

  • 1课你好 5.ppt
    7.3 MB · Views: 42
Slide hii inafaa kuwa ya kwanza. mtu ukiwekeza masaa 200 yanatosha kabisa kusoma, kuongea, kuandika na kusikiliza kichina
 

Attachments

  • 20200918全英初级听力第一课.pptx
    894 KB · Views: 43
Endeleeni kupakua vitabu kufahamu kichina vizuri ndani ya miezi mitatu inawezekana kabisa kwa yeyote mwenye JUHUDI na Nia hakuna kitu kirahisi mpaka uwe umekimaster baada ya kufanya mazoezi mengi na magumu kwa kurudia rudia. Nitakuwa naweka masomo mbalimbali hapa kila wiki mara nyingi kadiri nitakavopata muda wa kufanya hivyo. Ndoto yangu kubwa kufikia mwezi Januari 2021 natumaini kwa wale wote watakaokuwa na uhitaji wa kweli kufahamu hii lugha watakuwa wameiva na kuweza kujivunia uwepo wa Jamii forum pia naamini chochote chenye manufaa kitakachowekwa hapa na wadau wengine vitanufaisha mpaka vizazi vijavyo.
 

Attachments

  • Lesson 1 and 2.pdf
    10.9 MB · Views: 42
  • workbook1-2.pdf
    4.1 MB · Views: 32
Listen the audio then do the assignment from the PDF files. It has 30 questions. Later I will share marking schemes so that you can correct yourself. It is not easy until you master it. keep practicing , keep practicing this tone language need you to invest sometimes particularly in these early stages where your practicing
1. Listening
2. Pronunciation
3. Speaking
4. Reading and writing of Chinese characters
 

Attachments

  • 03-1.mp3
    7.9 MB
  • Assignment lesson 3.pdf
    1,005.3 KB · Views: 27
Mimi najifunza hii lugha nilitamani kufundisha na wengine lakini sioni wanaoonekana kufuata ama kuuliza maswali. najiandaa kufanya mtihani HSK 3 mwakani. kila week natumia si chini ya masaa 5 ya kusoma, kusikiliza, kuongea na kuandika 中國漢語.

ubaya fursa zinatokea wakati watu hawahitaji badae mtu akinitafuta sizani kama nitampa ushirikiano tena
 
Mimi najifunza hii lugha nilitamani kufundisha na wengine lakini sioni wanaoonekana kufuata ama kuuliza maswali. najiandaa kufanya mtihani HSK 3 mwakani. kila week natumia si chini ya masaa 5 ya kusoma, kusikiliza, kuongea na kuandika 中國漢語.

ubaya fursa zinatokea wakati watu hawahitaji badae mtu akinitafuta sizani kama nitampa ushirikiano tena
Nipo mkuu
 
Hapa ninaweka idadi ya maneno ambayo mtu akihitimu HSK1 anapaswa kuwa anayafahamu kwa ufasaha ni misamiati 150 kwa HSK 2 ni 300 na HSK 3 ni maneno 600. Unaweza ukayapitia kwa haraka na kuona unakumbuka vocabulary ngapi kati ya hizo 150. Kumbuka PDF books nilizo upload mwanzoni moja ndio kitabu halisia kinachotumika na Beijing university of culture and language kufundishia wanafunzi wa kigeni. Kitabu kimeandikwa kwa mfumo wa masomo kina LESSON 1-LESSON 15 Hivyo kwenye kila lesson kunakuwa na idadi ya vocabulary mpya na namna ya kuyatumia hayo maneno ni vema ukasoma hatua kwa hatua bila ya kuruka somo la nyuma ili kuweza kuelewa kwa mtiririko uliopangiliwakwa mwanafunzi wa kigeni na PDF ya 2 ilikuwa ni kama summary ya mazoezi yote apaswayo kuyapitia mwanafunzi kusudi kumudu maneno yanayotakiwa kusomwa kwa level 1. hapa pia nitaongezea hayo mzazoezi/exercises. Ikumbukwe haya masomo niliotuma mpaka sasa ni kwa ajili ya level one tu.
 

Attachments

  • HSK1一级词汇·vocabulary.docx
    25.3 KB · Views: 27
Kuongea kichina ni rahisi zaidi kuliko kuandika hasa kwa wageni hivyo wakati wa kujifunza inashauriwa iendane kusoma, kusikiliza, kutamka na kuandika. kuandika inafuata baada ya kuwa tayari umeshajifunza maneno kadhaa mfano unapokuwa tayari umejifunza LESSON 1 -3 ndio unaweza kuanza kuandika yale maneno ya hizo lesson 3 ambayo yanaweza yakawa ni maneno 15 ivi hivyo kwa hatua ya mwanzo usingangane kuandika itakuwia ngumu hata ukisogea mpaka lesson 5 kisha ndio ukaanza kuandika maneno uliyoyasoma bado utamudu vizuri. hapa kwenye kuandika namanisha chinise characters/Hanzi not Piniyin.

ili uweze kuzungumza inakubidi ujue kuandika piniyin vizuri baadae ndio unaachana na piniyin unahamia kwa characters. Kwenye kuandika ukishajua piniyin vizuri kama unatumia simu ama komputa inakuwa umemaliza kazi kwani baada ya ku instal chinese keyboard na kuchagua simplified chinese/mandarin ukiandika piniyin keyboard inatype characters japokuwa MUDA MWINGINE inakupasa kutambua characters kwani piniyin inaweza kutamkwa kwa aina sawa lakini zinakuwa na characters tofauti mfano (she, he, her him) zina character tofauti lakini piniyin ni sawa.

Baadhi ya mazoezi niliyoweka hapa ni zile zilizokuwa zinatoa msisitizo tu ila EXERCISES zote zipo kwenye PDF ya kwanza. Soon nitaweka materials kwa ajiki ya HSK 2 then 3.
 

Attachments

  • lesson1 grammar.docx
    19.8 KB · Views: 28
  • Lesson 2 grammer.docx
    21.1 KB · Views: 24
  • lesson3(1)Exercises.docx
    22.9 KB · Views: 22
  • Writing(lesson2)new words(爸妈哥弟要喝).doc
    100.5 KB · Views: 26
  • 想 and 要(1).docx
    21.4 KB · Views: 22
  • 03-1.mp3
    7.9 MB
昨天八点五十五分我在喝咖啡呢。九点我去图书馆了。一点十五分我吃下午饭。一点二十五我学中国汉语。五点我去开来家了。八点我去睡觉。谢谢
Yesterday at 8:55 I drink coffee. 9:00am I went to library. 1:15 I eat lunch. 1:25 I learn Chinese language. 5:00 I drive back home. 8:00 I go to sleep. Thank you
 
 

Attachments

  • 02-8.mp3
    892.7 KB
  • 02-9.mp3
    849.4 KB
  • 02-10.mp3
    376.3 KB
  • 03-1.mp3
    619.6 KB
  • 03-2.mp3
    416.7 KB
  • 03-3.mp3
    477.5 KB
  • 03-4.mp3
    555.9 KB
  • 03-5.mp3
    566.9 KB
  • 03-6.mp3
    638.4 KB
  • 03-7.mp3
    889.4 KB
  • 04-1.mp3
    624.1 KB
  • 04-2.mp3
    418.4 KB
  • 04-3.mp3
    518.8 KB
  • 04-4.mp3
    895.1 KB
  • 05-5.mp3
    882 KB
  • 05-6.mp3
    887.8 KB
  • 05-7.mp3
    580.8 KB
  • 05-8.mp3
    764.5 KB
  • 05-10.mp3
    762.9 KB
你很高兴,我也很高兴。
You are Happy, Iam also Happy.
李华的电话号码是多少?。
What is Li Hua phone number.?
他的点话号码是九八五十二三四。
His phone number is 9810234.
HSK2 loading.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom