Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

Ina maana wangepata ajira au kujiajiri wasingeingia kwenye ndoa?Mbona hao "wasomi" wanaiongelea" na kuichukulia poa taasisi ya ndoa?
 
Ndo mawazo ya wanawake yalivyooooo

Ndo maana nasemaga mwenye ako na mapenzi ya kweli mpaka kufikia kumuoa mtoto wa MTU ni mwanaume pekeee

Wanawake wao wanatafuta pa kutulia
 
Kuna mmoja alikuwa ananipanga ahamie kwangu
Kila siku akawa anajisemesha "maisha magumu sana wengine tuolewage tu "..
Nikamzoom nikaona hamna kitu hapa, imagine mtu anakuja kwako kupunguza makali ya maisha.
Hali Ni mbaya Sana mtaani,
Msaidie umsitiri mwenzio, mungu atakulipa mkuu
 
Apo ndio ninapoanzaga kuona upuuzi wa mtu aliesoma ila hajaelimika,,, kwaiy unakutana na mwanamke kabisa kaenda shule eti anasema ameolewa et sababu mwanaume ataondoka ataleta chochote ili siku ziende hapo nd utagundua utofauti wa mwanaume na mwanamke. Alafu kozi ambazo zitamfanya mtu ajiajili inategemea na masomo aliyosoma.

Yan katika udhaifu mkubwa Sana katika elimu yetu ni kuwa ipo katika mfumo wa kutengeneza watu ambao watategemea ajila serikalini au sekta binafsi na sio kujiajili.

Kwahiyo ipo haja ya serikali kuliona ilo na kufumua mifumo ya kielimu na kuunda upya gharama itakuwepo ila kwa sababu ya ustawi wa jamii imara haina budi kufanya hivyo.
 
Kuna mmoja alikuwa ananipanga ahamie kwangu
Kila siku akawa anajisemesha "maisha magumu sana wengine tuolewage tu "..
Nikamzoom nikaona hamna kitu hapa, imagine mtu anakuja kwako kupunguza makali ya maisha.
Hahahaaaa.......anataka mshee pamoja maumivu yake ya uchungu wa Maisha.
 
Back
Top Bottom