SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Mkoa wa Njombe pamoja na kwamba umekuwa ni mkoa wenye mafanikio ya kuzalisha wasomi wengiwalioko serikalini na hata vyuo vikuu lakini cha ajabu ndio mkoa ambao hauna chuo kikuu hata kimoja, Hii ni aibu kubwa sana.
Hivi tatizo ni nini na kama mmeweza kusoma kiasi hicho kwa kwenda kudoea vyuo vya wenzenu. Je, mngekuwa na vya kwenu hamuoni kwamba mngekuwa mbali sana kwenye sekta ya elimu?
Nimeshangaa kufika Njombe Mjini naambiwa hakuna hata chuo kimoja kikuu, hii sio sawa. Anne Makinda, katibu mkuu kiongozi mstaafu Luhanjo, waziri wa maji na umwagiliaji Mr. Lwenge where are you guys, nini shida?