Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,519
- 5,683
Nilijua peke yangu sijaelewa.Naona kama kamanda wa polisi anajifunza kuongea, sijaelewa elewa bado
Nilijua peke yangu sijaelewa.Naona kama kamanda wa polisi anajifunza kuongea, sijaelewa elewa bado
Ndiyo tukio hilo hilo mkuu. Wengine walikimbilia Iringa na ndiyo maana walifatwa huko.Juzi askar wa Iringa walichachamaa kutafuta wafungwa, inasemekana walikua kazini wakampiga askr magerz na mapanga halafu wakatoroka na bunduki.
Sasa story ya hapo juu inachanganya sijui inazungumzia tukio la Njombe au hili la Iringa.
Kwa nini wahehe mnafuga majambazi sana?Juzi askar wa Iringa walichachamaa kutafuta wafungwa, inasemekana walikua kazini wakampiga askr magerz na mapanga halafu wakatoroka na bunduki.
Sasa story ya hapo juu inachanganya sijui inazungumzia tukio la Njombe au hili la Iringa.
Kuna wale wazazi wanaozaa watoto wa uzeeni, anakuwa na watoto wakubwa anaenda kuchukua dogodogo na kuanza kufyatua vijukuu, wapo wengi tu hasa maeneo ya vijijini. Sasa automatically huo utakuwa mzigo wa watoto wakubwa maana mara nyingi wazee wa dizani hiyo huwa hawana mwelekeo wowote.Kaka na mdogo wake wanatofautiana umri kwa miaka 37!!
Mkuu hui habari inaonekana mbili tofaut lkn inamhusu marehemu mtuhumiwa afande kashindw kuelezea vizur hata mm nimeshindwa kumwelewa afande 😀Hii habari labda mm pekee nimeshindwa kuielewa,
Yaan uwe mfungwa umpore Askari silaha umpige nayo mtu(hapa ni Kama tukio lililotekelezwa kwa haraka sana) sasa inakuaje kaenda kufanya nayo matukio mbali mbali na kutumia risasi zote7 wakati ni mfungwa?
Alafu et asingekufa angeeleza aliwezaje kutoka na silaha(hapa hakumpora mtu)
Controversial asee😂😂😂Naona kama kamanda wa polisi anajifunza kuongea, sijaelewa elewa bado
Majambz yapo kila mkoa, wilaya mzee.!Kwa nini wahehe mnafuga majambazi sana?
Kwa hiyo silaha ilipokonywa Njombe jamaa katembea nayo mpaka Iringa kuja kukomboa wafungwa wenzake??Ndiyo tukio hilo hilo mkuu. Wengine walikimbilia Iringa na ndiyo maana walifatwa huko.
Huyo Askari magereza alikuwa amesinzia labdaHuyo askari mpaka anaporwa hiyo silaha yeye alikuwa kalewa au
Huenda maana ni uzembe sana askari kuchukuliwa silaha labda ukiwa umekufaHuyo Askari magereza alikuwa amesinzia labda
Hiz ndio zile picha mtu mmoja anapiga watu200 bila bundukiUmeona eeeh.
Bado hawajajua aliporaje, si wamuulize aliye porwa.
Siku hiyo hiyo apore silaha
Kawaruhusu wenzake watoroke
Amuadhibu Kaka yake
Halafu dogo Yuko 24 only.
Mkuu hii habari yako ni hii hii au ni mpya maana habari haina chochote kinachohusu hii yakwakoKWA AMBAO HAWAJAELEWA
Askari magereza aliwapeleka wafungwa kufanya kazi. Walikuwa jumla ya wafungwa wanne.
Kazi ilihusisha utumiaji wa panga. Sasa nyampara katika kundi hilo ambaye ndiye mtajwa hapo juu akam-time askari kashangaa akamshushia panga la haja.
Baada ya askari magereza kwenda chini,wakamnyang'anya hiyo bunduki na kutokomea.
Ndiyo hiyo bunduki akaenda kumjeruhi nduguye. Hata hivyo wote baadae walipatikana.
Yaani wewe bure kabisa. Unashangaa majina. Tukio umeacha, uwasilishaji kukosa viwango hujaona.....dah!Hahahaaaa....... Chaugingi!
Idundilanga!
Iyelevala!
Njombe bhana.
Hahahaaaa...... DzengelendeteYaani wewe bure kabisa. Unashangaa majina. Tukio umeacha, uwasilishaji kukosa viwango hujaona.....dah!
KidugalaHahahaaaa....... Chaugingi!
Idundilanga!
Iyelevala!
Njombe bhana.