Njombe: Mchungaji awatandika viboko waumini kama njia ya kutubu

Kanisa hilo la Baptist mkoani Njombe linatumia viboko kama sehemu ya waumini kutubu na kusamehewa dhambi zao.

Aidha siri imevuja baada ya muumini mmoja kujeruhiwa kwa viboko.

Baada ya waumini kukiri dhambi zao ,lazima watandikwe viboko kama sehemu ya utakaso.

Haya mambo ya viboko kumbe ni msingi wa Imani za watu, Tutegemee Taifa la kucharazana bakora kuanzia mwakani.

View attachment 1653223
Madhehebu ya kingesengese yamejaa wangese kibao acha wachapane bakora mwisho wachapane na dushe kabisa pambaf kabisa
 
Back
Top Bottom