Njombe: Mchungaji awatandika viboko waumini kama njia ya kutubu

Duuh jamii ya kuendeshwa kwa mijeredi tena ?! Hauwezi kustawi kwenye jamii hiyo kimbia haraka sana.
 
Nchi hii Ina mazwazwa kweli , mchungaji anza kuwaambia wakitenda dhambi malipizi watoe wake zao kulala nao ndio kulipia dhambi yatakubali mazuzu .
 
Alikua na Sambi mbili. Sasa alibakisha Sambi moja ndio alikua anarudi kuimalisia.
Ni Sambi sake mwenyewe
 
Ni sawa tu kwa maana unapoenda kutubu dhambi zako kwa Padree au Mchungaji mwishoni atakupa malipizi ya dhamibi ulizo fanya sasa inategemeana, anaweza kukuambia ukafyeke uwanja wakanisa kila siku asubuhi na jioni kwa siku 30, au usali sala fulani mara kumi kila siku ama ufagie kanisa kwa mzwezi mzima au akutandike bakora kama alivyoamua huyo mtumishi ... na ili toba yako iwe kamili lazima utimize malipizi uliyopewa.

Yeye aliona atoe malipizi hayo kwao tatizo liko wapi na hulazimishwi kama hutaki unaacha. Sasa mtu anakuja kutubu kamsaliti mumewe/mkewe, au kaiba au kaua mtu si bora umkung'ute hizo mboko kadhaa akujutie dhambi zake huko na familia yake usifanye tena dhambi ..... Congole kwake mchungaji
 
Wenye zambi nyingi nashauri wafilisiwe na masikini wenye dhambi wawe vijakazi wa kanisa. Mitano tena zile takwimu kati ya watanzania wa tatu wawili ni vichaa kamili ziko sawa kabisa
 
Eehhh Mungu.....
Waokoe watu wako kwa kukosa maarifa, maana wajinda hawaishi daily
 
Ni sawa tu kwa maana unapoenda kutubu dhambi zako kwa Padree au Mchungaji mwishoni atakupa malipizi ya dhamibi ulizo fanya sasa inategemeana, anaweza kukuambia ukafyeke uwanja wakanisa kila siku asubuhi na jioni kwa siku 30, au usali sala fulani mara kumi kila siku ama ufagie kanisa kwa mzwezi mzima au akutandike bakora kama alivyoamua huyo mtumishi ... na ili toba yako iwe kamili lazima utimize malipizi uliyopewa.

Yeye aliona atoe malipizi hayo kwao tatizo liko wapi na hulazimishwi kama hutaki unaacha. Sasa mtu anakuja kutubu kamsaliti mumewe/mkewe, au kaiba au kaua mtu si bora umkung'ute hizo mboko kadhaa akujutie dhambi zake huko na familia yake usifanye tena dhambi ..... Congole kwake mchungaji
Wenzetu mnatushangaza inamana huyo mchungaji ndio anaesamehe dhambi?

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom