Njombe: Mchungaji awatandika viboko waumini kama njia ya kutubu

Msamaha unaotolewa na Mungu ni free of charge.Ndiyo yale yale yaliyo semwa na martini Luther.Wokovu haunuliwi,tumepata bure tutoe bure.

Huu ni upotoshaji uliofanywa na kanisa la zamani sana,kwamba unapewa cheti cha msamaha wa dhambi na padre
Eti! Unapewa cheti cha msamaha wa zambi, wakimaliza kukupa cheti wakupe na leseni kabisa.
 
hata kiongozi wa nchi akikosea itapendeza sana akicharazwa mboko na wanao m control . ni mwendo wa viboko tu kwa sasa kwenda mbele... hakuna namna.
 
Taratibu tu mwishowe watachomwa Hadi moto kama alivyowafanya Kibweteere.
 
Kanisa hilo la Baptist mkoani Njombe linatumia viboko kama sehemu ya waumini kutubu na kusamehewa dhambi zao.

Aidha siri imevuja baada ya muumini mmoja kujeruhiwa kwa viboko.

Baada ya waumini kukiri dhambi zao ,lazima watandikwe viboko kama sehemu ya utakaso.

Haya mambo ya viboko kumbe ni msingi wa Imani za watu, Tutegemee Taifa la kucharazana bakora kuanzia mwakani.

View attachment 1653223
Watu wazima kwa akili zao timamu wakikubaliana njia za kutumia ktk kurejeshana inapotokea ukengeufu,inageuka kuwa halali.
"Wapigwe tu"kama wanakiri walitenda isivyo kinyume na taratibu zao
 
Kanisa hilo la Baptist mkoani Njombe linatumia viboko kama sehemu ya waumini kutubu na kusamehewa dhambi zao.

Aidha siri imevuja baada ya muumini mmoja kujeruhiwa kwa viboko.

Baada ya waumini kukiri dhambi zao ,lazima watandikwe viboko kama sehemu ya utakaso.

Haya mambo ya viboko kumbe ni msingi wa Imani za watu, Tutegemee Taifa la kucharazana bakora kuanzia mwakani.

View attachment 1653223
Hiari yashinda utumwa.
 
Yawezekana hivi sasa nchini Tanzania kuna Pepo anayependa kuona Makalio ya Watanzania kila mara tu yawe yanachapwa Bakora. Si dalili njema!
 
Kanisa hilo la Baptist mkoani Njombe linatumia viboko kama sehemu ya waumini kutubu na kusamehewa dhambi zao.

Aidha siri imevuja baada ya muumini mmoja kujeruhiwa kwa viboko.

Baada ya waumini kukiri dhambi zao ,lazima watandikwe viboko kama sehemu ya utakaso.

Haya mambo ya viboko kumbe ni msingi wa Imani za watu, Tutegemee Taifa la kucharazana bakora kuanzia mwakani.

View attachment 1653223

Sijaelewa hapo huyo mama aliposema "atige"
 
Back
Top Bottom