Njombe, Kilimanjaro, na Dar Vinara kwa kiwango kidogo cha umaskini

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Angalia hapa chini mkoa wako ulivyo na kiwango kikubwa cha umaskini.

Mfano dar just 8% ni maskini.
FB_IMG_1561913690442.jpeg
 
aisee hiyo ndio mipaka ya mikoa ya Tanzania!! kweli mambo yamebadilika, enzi zangu nasoma darasa la nne nilikua naweza kuichora ramani ya Tanzania na mikoa yake bila kuangalia sehemu, lakini hii leo sijui hata kuna mikoa mingapi.
 
Yan mikoa ya kanda ya ziwa na southern highland ndio hali mbaya zaidi. Huko ndio kwa kwenda kuwekeza hasa kwemye kilimo.
 
Hizi takwimu za wapi, toeni source mleta mada,umezitoa wapi na ni ya mwaka gani hii takwimu, naona kuna shida somewhere
 
Hii inatusaidiaje sisi wanyonge wenye uchumi mdogo?

Kwahiyo dar kuna maskin wachache sana mbona watu wengi dar ni wauza kashata na kahawa au hapa tunazungumzia umasikin upi au wa akili yaan hadi dodoma kuna masikin wachache kushinda mwanza

Kwahiyo mwanza kuna masikin wengi kuliko dodoma
 
Angalia hapa chini mkoa wako ulivyo na kiwango kikubwa cha umaskini.

Mfano dar just 8% ni maskini.View attachment 1143267
Kama kingezo mojowapo ni pamoja na makazi bora basi Dar haistahili kuwemo kwani zaidi ya asilimia sitini ya wakazi wanaishi nyumba zilizobanana mithili ya nyuki wanoishi kwenye mzinga,pili kutokana na mazingira duni ndio maana gonjwa la kipindupindu limeweka kambi dar.Ila kama kigezo ni barbara za lami na magorofa basi dar inasthili kuwemo.
 
Geita, Simiyu inaongoza kwenye 5 bora za umaskini, aisee Geita na midhahabu yote bado hali mbaya...Watu wanasema Mwanza ni zaidi ya Arusha, leo Mwanza ipo 5 bora za umaskini?! Kanda ya ziwa mnakwama wapi?????????????????
 
I
Hii inatusaidiaje sisi wanyonge wenye uchumi mdogo?

Kwahiyo dar kuna maskin wachache sana mbona watu wengi dar ni wauza kashata na kahawa au hapa tunazungumzia umasikin upi au wa akili yaan hadi dodoma kuna masikin wachache kushinda mwanza

Kwahiyo mwanza kuna masikin wengi kuliko dodoma
Hii inatusaidiaje sisi wanyonge wenye uchumi mdogo?

Kwahiyo dar kuna maskin wachache sana mbona watu wengi dar ni wauza kashata na kahawa au hapa tunazungumzia umasikin upi au wa akili yaan hadi dodoma kuna masikin wachache kushinda mwanza

Kwahiyo mwanza kuna masikin wengi kuliko dodoma
inashangqza sana mkuu ,Mwanza inapitwa na Dodoma kweli?
 
Yaan hawa wagogo wanaokula had viwashi jeshi eti ni matajiri kushinda wazee na sangara, sato kuwashinda mabingwa wa ufugaji, wachimbajj wa madini, wakulima wa pamba wa kisukuma mafisadi wa kutisha akina lugumi na chenge

Kwa kifupi Usukuma na Umasikini vinaendana kama Nyanya na Samaki
 
Yaan hawa wagogo wanaokula had viwashi jeshi eti ni matajiri kushinda wazee na sangara, sato kuwashinda mabingwa wa ufugaji, wachimbajj wa madini, wakulima wa pamba wa kisukuma mafisadi wa kutisha akina lugumi na chenge
Hahahaaaaaaa, mbavu zangu mie... data hazihojiwi wazee, tumeze tu...
 
Mbona dar kuna ombaomba wengi saña wakati takwimu zinaonyesha dar hakuna masikini sana uongoo
 
Angalia hapa chini mkoa wako ulivyo na kiwango kikubwa cha umaskini.

Mfano dar just 8% ni maskini.View attachment 1143267
Kama kingezo mojowapo ni pamoja na makazi bora basi Dar haistahili kuwemo kwani zaidi ya asilimia sitini ya wakazi wanaishi nyumba zilizobanana mithili ya nyuki wanoishi kwenye mzinga,pili kutokana na mazingira duni ndio maana gonjwa la kipindupindu limeweka kambi dar.Ila kama kigezo ni barbara za lami na magorofa basi dar inasthili kuwemo.
Kigezo sikijui lkn dar hawana nyumba za tembe
 
Back
Top Bottom