Njombe: Kijana awafungia wanawake 3 ndani na kuwabaka kwa zamu, mmoja kambaka kwa saa 11

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Ni Uraibu au Matatizo ya Afya ya Akili?

IMG_4791.jpg


Juma Msemwa (27) anashikiliwa na Polisi Njombe kwa tuhuma za kuwafungia ndani kwake kisha kuwabaka na kuwalawiti huku akiwa amewafunga kamba na kuwajaza vitambaa mdomoni Wanawake watatu katika Mtaa wa Kihesa Halmashauri ya Mji wa Njombe.

Prisca Mgaya ni Shuhuda aliyefika wakati wa kukamatwa kwa Kijana huyo na akiongea mbele ya DC wa Njombe, Kissa Kasongwa amesema alipata taarifa kwa Dada aliyetoroka kwenye nyumba waliyofungiwa kisha akaenda kuomba msaada dukani kwake akiwa na hali mbaya kwakuwa Juma alikuwa anafanya nao mapenzi siku nzima na alipochoka alizamisha gunzi au tango kwenye nyeti za Wanawake hao.

"Alipofika na kuniambia kuwa ametoroka kwenye nyumba waliyofungiwa na Juma ambaye alikuwa anawabaka, tukaondoka na wenzangu mpaka kwenye ile nyumba tukataka kuanza kuvunja mlango akatoka Kijana, tulipomuuliza yule Binti kama Kijana mwenyewe ni huyu akasema ndio lakini Kijana akaanza kukataa tukampiga kamba na kwenda kwenye vyumba vingine tukakuta vimefungwa tulipovunja chooni tukakuta Wamama wawili wakiwa uchi na huyu tuliyekuwa nae nje ni wa tatu"

DC Kissa Kasongwa amesema tayari Kijana huyo ameshikiliwa na Polisi huku akisikitishwa na kilichofanywa kwakuwa Mwanamke mmoja alikuwa amefungiwa kwa takribani wiki moja akiendelea kufanyiwa vitendo hivyo kila siku “Mmoja anasema kabakwa kwa saa 11 bila kupumzika”

"Niwashukuru Wananchi kwa kuwaokoa bila ya huyu mmoja kujinasua huenda leo tungeongea mengine nitoe rai kwa Wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa Mwanaume bila kumjua ni nani”

Chanzo: Millard Ayo
 
View attachment 2633932


Juma Msemwa (27) anashikiliwa na Polisi Njombe kwa tuhuma za kuwafungia ndani kwake kisha kuwabaka na kuwalawiti huku akiwa amewafunga kamba na kuwajaza vitambaa mdomoni Wanawake watatu katika Mtaa wa Kihesa Halmashauri
Njombe na Geita Kwa matukio ya ajabu ajabu ni hatari,wafanyiwe utafiti..

Kwa Njombe bangi inachangia
 
Simtetei bonge mbakaji ila taarifa ina mapungufu...

Siku zote hizo huyo mbakaji aliwezaje kufanya huo ukatili peke yake kwa wanawake watatu, ina maana hakuwa anachoka na kupumzika au kulala kidogo ambapo hao wanawake wangepata mwanya wa kujinasua hata kwa kumjeruhi kidogo?

Kama tunavyojua wanaume hupata kauchovu fulani pindi wafikapo kileleni.
 
Wote 3 anawabaka kila siku, mmoja anabakwa kwa masaa 11, tu assume wengine wawili wanabakwa kwa masaa 5 kila mmoja. Jumla jamaa anatumia masaa 22 kupiga miti tu. Hii ni balaa.

Kwa siku yenye masaa 24 jamaa ana masaa 2 tu kutumia kula, kulala,

Hapo assumption ni kwamba jamaa chakula kipo ndani cha kutosha ama ana mgahawa wanamletea chakula kwa wakati.

Kwa masaa 2 ndio anatumia kuoga, kula na kulala. Hii ni hatari.

Jamaa atusaidie kujua hizo nguvu anazitoa wapi.
 
Back
Top Bottom