Mwandulami Referral HospitalAlikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Mwandulami Referral HospitalAlikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Hatimaye kafa kweli ...bado JDeeView attachment 1840225View attachment 1840223
Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.
Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.
Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.
Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!
Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
Yuko wapi huyu
wewe huyu anafahamika labda Kama wewe ndio ulikua humjui ila wadau wengi Sana wanampata sababu hapa nchini sababu alikua ni msaka fursa haswaaa!Sema alikuwa maarufu njombe na maeneo ya jirani.
wewe jamaa buana Kama niliongea pumba kwanini hukufanya utafiti unijibu Kwa factMbona siku hizi hawaji au madini yameisha? Bro uliongea pumba mbaya sana hadi niliona aibu mimi.
mkuu hapana nilivyomwelezea ndio hivyo hivyo anafahamika na wengi yeye anafahamika Kama Dr sababu ana mbaka Clinic ya tiba Asili Kama kina Dr Mwaka ukienda kikawaida unapata huduma ya kawaida maana alikua na ofisi ya kisasa kabisaMleta uzi amemuelezea huyu jamaa utafikiri ni daktari wa kisayansi,kumbe ni mganga wa kienyeji
Ova
mkuu huyo JDee ndio nani ufafanuzi!Hatimaye kafa kweli ...bado JDee
Ana mpaka wodi za wagonjwaMleta uzi amemuelezea huyu jamaa utafikiri ni daktari wa kisayansi,kumbe ni mganga wa kienyeji
Ova
Kwa hiyo ni mganga wa miti shambaAna mpaka wodi za wagonjwa
haswaaaaaKwa hiyo ni mganga wa miti shamba
Ova
MEMENTO MORI.So story yake imeishia hapo.Anatukumbusha kwamba sisi ni Binadamu tuu. "Memento Homo".Tusije tukasahau,kwamba sisi ni binadamu tuu.Fedha na Dhahabu ni mali ya Bwana Full stop.
So hata lingekuwa kaburi la trilioni halina masaada wowote kwake kwa hapo alipofikia
Polen wafiwa wote na wote walioguswa
Nimesoma pale mtwango sec na binti yake wa mwisho alikuaga pisi yangu enzi hizoMkuu kumbe yule mzee unampata daaa wewe utakua Mtwango unapapata vema,
Yule mzee alikua maarufu Sana enzi zile Hadi akajijengea kaburi lake lipo pale njiani Kama unaenda Mtwango Secondary mkono wa kushoto Barabara ya Makambako_ Songea !
au sio kumbe umebukua pale kwa Mbunda haaaahaaaNimesoma pale mtwango sec na binti yake wa mwisho alikuaga pisi yangu enzi hizo
Hawa wa kienyeji huwa hawana hospitali za kizungu.Alikuwa mganga mkuu wa hospitali gani